Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,443
- 4,230
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii.
Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.
Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu.
Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. The paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.