TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,080
Solution iko kwenye Ibara ya 98 ya Katiba ya JMT, 1977, yaani kupeleka Azimio Bungeni la Kuvunja Muungano! Lazima zipatikane kura theluthi 2 kila upande, otherwise Muungano is here to stay!
Mkuu sasa hivi tunatengeneza mpya ...hiyo ya zamani ni reference tu kwa ajili ya kuendesha mchakato wa kupata mpya...lakini
mleta uzi hajafafanua vizuri...kuhusu kipengele cha serikali mbili...
Kwani unaweza kuwa na serikali mbili zilizo huru, zinz viti huko UN, yaani Serikali ya Zanzibar na serikali Tanzania Bara zilizo huru. Ama serikali mbili kwa muundo wa sasa (Muungano na Zanzibar). Hivyo ningeshauri...poll irudiwe (upigaji kura wa uzi huu urudiwe)...ili options zote mbili ziwe 'captured'. Ni hayo tu.