Kuna maisha mengine zaidi ya haya ya duniani?

Hakuna anayejua, yanaweza yakawepo au yasiwepo
Kitu pekee cha uhakika kwa sasa ni kwamba unaishi, so assume yapo haya tu, unayaishi vipi?
 
Haukua na maisha yoyote kabla ya hapa na hutokua na maisha yoyote baada ya hapa

Ukifa ndio imeisha hiyo, hizi zingine ni porojo tu za kupunguza makali ya fikra za kukutwa na umauti ila hiyo siku ikifika na biashara yako imefika mwisho
 
Maisha mengine yapo ili wale waovu walipwe kulingana na uovu wao walioufanya hapa duniani ...mfano waliokuwa ma dicteta na dunia iliwaogopa. Pia wenye kudhulumiwa walipe haki zao.
Yatakuwa maisha yasiyo na mwisho baada ya hukumu.
Wanadamu wote watafufuliwa kuanzia wa mwanzo kuumbwa na wa mwisho. Yani kuanzia Nabii Adam.
Mungu wetu ni muweza. Alituumba tukiwa si lolote hivyo hashindwi kuturejesha.
Hiyo ni kwa mujibu wa Uislam.
Kwa imani ya Kikristu ni kuwa Mungu alituumba na kusema tukaujaze ulimwengu, sasa tunaujaza wa nini huku anatupangia kiama
 
Duniani sisi ni wapitaji nyumbani kwetu ni mbinguni so hapa duniani tupo Kwa muda tunapita
Tunapita kwenda wapi? Kama tuliumbwa na Mungu aliye mbinguni then tunakuja duniani alafu tunarudi tena mbinguni. Sasa kwanini tusinge umbwa na kubaki huko huko
 
Mda wako ukisimama, yaani utashindwa kufanya chochote. Hutoweza kupumua, kufikiri, kuongea, kucheka wala kufanya jambo lolote na hutojitambua. Ni sawa labda unaangalia muvi afu ukabofya kitufe cha PAUSE kwenye remote control, hiyo muvie itaganda, haitotoa sauti wala chochote kwa sababu umesimamisha mda. Hapo ndipo tunasema mtu kafa yaan mda wako umeisha, na ukifa hiyo imeisha hakuna cha mbingu wala nini, kinachofuata wewe unabadili form . Binadamu unakuwa maiti, unazikwa unaoza, unaliwa na bacteria, unakuwa mbolea, mimea inastawi, inatoa oksjeni, wanyama wanaivuta, na cycle inaendelea na ni endelevu haina mwisho.
Daah.., ok. Kuna mda unasema miguu yangu, kichwa changu mkono wangu, sikio langu n.k that means kuna wewe harafu kuna huo mwili ambao ndio kama vazi la huyo wewe and it's visible and tangible lakini wewe huonekani na wala hugusiki wew ni Nafsi na hufi kamwe kinachokufa ni huo mwili wako, so when a man dies anakuwa transform kutoka kwenye mwili na kuwa katika hali ya roho na akiwa ktk hali hiyo hawezi kuongea kwa saut maana mwili ndio umetengezwa kutafsiri kile nafsi inawish kuzungumza na kuweza kutoa saut nafsi huwa inaona sababu inajicho la kiroho yaani jicho la tatu. Kwahiyo mtu akifa huwaona binadam na pia huutazama mwili wake na jinsi watu wanavo omboleza ila hawez kuzungumza, kwa uchache ni hivo, so on my conclusion ni kwamba kuna maisha baada ya kifo.
 
Naaaam
 
Maisha mengine yapo ili wale waovu walipwe kulingana na uovu wao walioufanya hapa duniani ...mfano waliokuwa ma dicteta na dunia iliwaogopa. Pia wenye kudhulumiwa walipe haki zao.
Yatakuwa maisha yasiyo na mwisho baada ya hukumu.
Wanadamu wote watafufuliwa kuanzia wa mwanzo kuumbwa na wa mwisho. Yani kuanzia Nabii Adam.
Mungu wetu ni muweza. Alituumba tukiwa si lolote hivyo hashindwi kuturejesha.
Hiyo ni kwa mujibu wa Uislam.
Sio kwel mungu alituumba kwa ukamilifu ndio amepanga vita vikubwa na wanadamu aliowaumba

Ikiwa pamoja na kuwachoma kwa moto usiozimika mele na milele
 
Back
Top Bottom