S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,663
- 32,921
Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti zinavyoonesha.
Je, nini faida ya watu kuongezeka na hasara zake na ipi faida ya watu kupungua na hasara zake?
Mwisho napenda kufahamu umuhimu wa maisha kwa sisi tuliopo duniani na wale wajao.
Watu wa dini wataongea mengi lakini hawatoweza kuziba pengo la hili swali.
Sanasana watajikuta wanaorodhesha faida za miungu yao kupitia sisi juu ya maisha yetu japo ukweli utabaki palepale kwamba hakujawa na hoja ya kueleweka juu ya maisha yetu na tunaowatumikia hata kama ni halisi au wa bandia.
Uwe tajiri sana au masikini sana, mwerevu sana au mpumbavu sana, jitahidi kwa namna yoyote usilete watoto kwenye ulimwengu huu kama huna majibu ya hakika juu ya maswali yangu.