Kumshitaki mhitimu

wewe inaonesha huwajui wabongo we...usishangae kaandikaje kiingereza, wabongo ni mafundi wa kiingereza cha kuandika vibaya mno...mi nimesoma na watu hawajui kuongea sentensi mbili mbele za watu ila wanaandika ung'enge masaa matatu kwenye pepa bila kuinua kichwa😂😂
 
kama hataelewa hapa basi tutaconfirm without fear of contradictions kwamba mtoa bandiko amesukumwa na wivu tu, kwasababu muhisika walisoma nae na walifeli pamoja form4 na mathematics wote walipata F,

Sasa huyu mtoa bandiko anashangaa huyu rafik yangu amefanyafanyaje mpaka kuibuka na diploma ya accounts?

My friend, ni kujipanga tu, hakuna muujiza wala namna nyingine.
Acha wivu na chuki binafsi.
Acha mwenzie atusue ale kwa urefu wa kamba yake .......
Si bora angemuuliza ulifanyafanyaje wewe? Au basi angesema kazi ameshindwa ndo tungejua kweli kuna tatizo. Halalamikii kushindwa kazi.
 
Wasalaam Mkuu.

Kwanza, unapaswa kujua vigezo vya kusoma kozi husika kwa mwaka aliochaguliwa kusoma. Mara nyingi kozi ya Uhasibu wanahitaji uwe na D nne, sijafahamu kama ni LAZIMA moja iwe ya Mathematics.

Lakini, tambua kuna kozi ya awali kwa walioshindwa kufikia maksi fulani. Atasoma hiyo kozi kisha baadae atatahiniwa, na endapo atafaulu basi ruksa kuendelea na Cheti na baadae Diploma.

Je, umejiridhisha na hayo?

Pili, janga la kujua kuzungumza Kiingereza ni la Watanzania wote. Wapo mpaka wenye PhD, lakini bado lugha hiyo inawapiga chenga sana. Alishawahi kuwepo Mkuu mmoja, Kingereza kilikuwa chenga.

Unapaswa kujua kuwa, kutokujua kuzungumza lugha fulani si kosa kisheria.

Tatu, Wahasibu hawahitaji sana lugha katika kutekeleza majukumu yao. Kwao, namba ndizo za muhimu.
Lakini pia, mifumo ndiyo inachakata taarifa nyingi sana za kihasibu.

Katika kada ambazo kazi zake zipo katika hatihati ya kumezwa na teknolojia, basi ni Uhasibu. Mambo mengi sana kwa sasa yatekelezwa kwenye mfumo. Kama mhusika anaimudu katika kutekeleza kazi yake, basi hewala.

Nne, huwezi kumshtaki mhusika na chuo. Kwa miaka ile, wanafunzi walipata nafasi kwa kuomba kupitia NACTE. Kisha wao wataona kama anakidhi vigezo, kisha atapangiwa chuo.

Kwa hiyo sasa, utapaswa kwenda chuo husika ukiomba chuo hicho wamfutie cheti chake. Na kuona kama kuna uzembe ulifanyika wakati wa kuchaguliwa kwake. Kama upo, basi utawashtaki NACTE pamoja na Chuo husika. Na endapo mhusika alitumia njia za uongo kuwashawishi NACTE wamkubali, basi naye atashtakiwa.

Tano, mtaarifu mhusika kuwa una nia ya kumshtaki. Ili naye akakuloge vizuri. Mapumbu yake puani.

Haiwezekani kitendo cha kujuana na mhusika, unataka kumfanyia mambo ya kipumbavu.

Hoja yako ingejikita katika kusema madhaifu yake katika utendaji.

Hizi tunaziita husda. Kama unataka nafasi ya mwenzako, pambana kufanya kazi kwa bidii. Nafasi itakufata tu.
Maelezo yako ni mazuri mkuu. Nahitaji nikuambie kwamba ni rafiki yangu sana. Na kazi anayofanya Sina maslahi nayo. Na nikikuonesha meseji ambazo nilikuwa nachat nae kuhusu kumshitaki, utashangaa. Anacheka na anasema, kanishtaki bwana Mimi nilishamaliza.! Tuelewe kwamba Hili ni jukwaa la kupeana maarifa. Jambo linapokuja, si Kwa sababu ya husda. Soma, tafuta mantiki ndani yake na Kisha toa elimu ulio nayo. Wengi wanarukia TU hoja na kutapika nyingi. Huenda Hili ni janga Kwa wachangiaji pia😂. Tusome tufaulu vizuri. Tusomeshe watoto wafaulu vizuri na si Kwa ujanja ujanja!
 
Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28.

Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi kuzungumza na kuandika Kwa lugha ya kiingereza. Nimekuta na maswali mengi kuhusu ufaulu wake chuoni Hadi kupata cheti Cha diploma.

Ikiwa lugha ya kufundisha ni kiingereza na mitihani hutungwa Kwa lugha ya kiingereza, alifaulu Kwa miujiza gani? Nahitaji msaada wa kisheria, kama naweza kumshitaki yeye pamoja na chuo kilichomthibitisha kuhitimu Kwa ngazi hiyo.
Tafuta mume wa kukuoa itakusaidia kuondoa hizi chuki ulizo nazo. Achana na mambo yasiyokuhusu. Kuna mwenzako mmoja kiherehere alikuwa anahoji elimu ya mtu hadi leo kapotea hajulikani alipo. Unachokitafuta utakipata.
 
Kuna mtu umekutana nae! Una mashaka na ufaulu wake! Na lugha yake ya kiingeleza haipandi.
1. Kama mnatofautina mbona hujalalmika kwa kiingeleza! We ai msomi mzuri?

2. Yaani tena,mara mia yeye kuliko wewe. Yeye kaleta F zake kutafuta maisha na kuiweka sawa familia yake, na wewe umekalia majungu na fitina tuu. Msoni anaejitambua hua na hekima. Hujalidhika nae,muache akafie huko. Wivu wa nini!

Hili lipo wazi ubongo wako umenyeshewa mvua na kulowa. Wataliani,warusi na wengine,ulisikia wakihangaika na lugha za kigeni? Mnawazidi maendeleo?

Kwa umri ulonao,huhawahi ziona mahakama? Kakwambia nani JF ni kituo cha umbea na majungu!! Mada hii inasaidia nini wanaoisoma labda!

Hata wanawake siku hizi tabia za aina hii hawana.
Kwaiyo wewe waona nisawa kuwa na watu wa aina hiyo na chuo cha ina hiyo kama jamaa anavyolalamika kwenye taifa linalohitaji maendeleo??

Wewe kama msomi??
 
Maelezo yako ni mazuri mkuu. Nahitaji nikuambie kwamba ni rafiki yangu sana. Na kazi anayofanya Sina maslahi nayo. Na nikikuonesha meseji ambazo nilikuwa nachat nae kuhusu kumshitaki, utashangaa. Anacheka na anasema, kanishtaki bwana Mimi nilishamaliza.! Tuelewe kwamba Hili ni jukwaa la kupeana maarifa. Jambo linapokuja, si Kwa sababu ya husda. Soma, tafuta mantiki ndani yake na Kisha toa elimu ulio nayo. Wengi wanarukia TU hoja na kutapika nyingi. Huenda Hili ni janga Kwa wachangiaji pia😂. Tusome tufaulu vizuri. Tusomeshe watoto wafaulu vizuri na si Kwa ujanja ujanja!
Una roho mbaya kuliko shetani.
 
Jikite kwenye hoja. Kama huna, nyamaza.
Kukunyamazia ndo mbolea ya kukuza ujinga na upumbavu. Acha uchawi. Nina imani unaemchongea anakujua vizuri. Kwa hili,bora uangukie kwenye anga zake dadeki. Yaani ahangaikie maisha umletee ufara!? Hoja ni kutounga mkono funza ulizonazo kichwani! We nenda kijijini ujipange. Yaani unajiunga vifurushi kwa ajili ya ujinga!
 
Tafuta mume wa kukuoa itakusaidia kuondoa hizi chuki ulizo nazo. Achana na mambo yasiyokuhusu. Kuna mwenzako mmoja kiherehere alikuwa anahoji elimu ya mtu hadi leo kapotea hajulikani alipo. Unachokitafuta utakipata.
Na nitawafyeka vilaza nyie. Yaani nikipata msaada wa kisheria, mtakoma.😂😂
 
Wewe bila shaka ni wale wa "ze train Baki come"! Jenga hoja,!
Hoja gani? Ikuume lakini kubali ujue hufai katika jamii. Ukute simu unayotumia hapa umemkaba mtu na kumnyang'anya. Umetafuta msaada wa sheria kujishtaki?
 
kama hataelewa hapa basi tutaconfirm without fear of contradictions kwamba mtoa bandiko amesukumwa na wivu tu, kwasababu muhisika walisoma nae na walifeli pamoja form4 na mathematics wote walipata F,

Sasa huyu mtoa bandiko anashangaa huyu rafik yangu amefanyafanyaje mpaka kuibuka na diploma ya accounts?

My friend, ni kujipanga tu, hakuna muujiza wala namna nyingine.
Acha wivu na chuki binafsi.
Acha mwenzie atusue ale kwa urefu wa kamba yake .......
😂😂😂 Tungekuwa tunatembea na vyeti kifuani basi ni Wachache wangetushika mikono Kwa salami bosi.
 
Hoja gani? Ikuume lakini kubali ujue hufai katika jamii. Ukute simu unayotumia hapa umemkaba mtu na kumnyang'anya. Umetafuta msaada wa sheria kujishtaki?
😂😂😂 Pambana mkuu. Nakuombea. Hapa ugumu wako wa maisha ndio unaongea. Si akili zako hizi.
 
Sawa. Tajiri gani wa kuhangaikia pumba! Sawa,tuseme hivyo vyeti kafoji. Shida yako nini? Akipata kazi kwa vyeti feki vyake,inakuuma ninii!? Haya,sheria zipo. Wewe zinakusaidia nini? Unamfukuzia kama nani? Nab hiyo ni laana sio bule. Umefikilia labda kama ameforge,anatafuta liziki ili iweje? Kama ana familia? Utailisha wewe! Umeona,potezea. Basi kashone sale za askali bandia,anza kuwasaka wanaopata mlo na kulisha familia zao kwa njia hizo. Fanya kazi au wakuelekeze wamefanyeje acha majungu
tumejaa chuki sasa inatutafuna wenyewe
 
Back
Top Bottom