Kisukari ni tatizo kubwa zaidi kwa Waarabu na watu wa visiwani!

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,972
46,738
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.

Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
 
Hata wakinywa Pepsi wanaongeza sukari nyingi
 
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.

Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Hata hapo Tanzania hivi sasa kuna wagonjwa wengi wa kisukari
 
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.

Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Acheni sababu za kuunga, kwa 70% Kisukari ni ugonjwa wa kurithi. Nafikiri Unaweza kujua mira za waarabu huwa hawaoi mbali na familia.

Ukiwa na mzazi mwezi Kisukari nakushauri chukua hatua mapema. Zingatia vyakula na mazoezi kabla hujaambiwa Sukari imepanda.
 
HUU NI UONGO
Inawezekana ni uongo, nakushauri fanya research kwangu nimeacha 30% sababu za kimazingira. Nakushauri uliza wagonjwa 10 wa Kisukari wakuambie familiy history ya uwepo wa wagonjwa ktk familia zao halafu njoo na jibu.
 
Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo.

Inasemekana hizi nchi za Waarabu wanapenda sana vyakula vya sukari na ngano, hizi zinaweza kuwa sababu zinazochangia?
Ila waarabu kwenye kula hawana mpinzani wale jamaa wanakula misinia aisee noma sana
 
Inawezekana ni uongo, nakushauri fanya research kwangu nimeacha 30% sababu za kimazingira. Nakushauri uliza wagonjwa 10 wa Kisukari wakuambie familiy history ya uwepo wa wagonjwa ktk familia zao halafu njoo na jibu.
Sawà Mkuu,
 
Back
Top Bottom