Kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari nzuri?

2018 Ford Ranger Raptor Kodi 54m TZS
Mie naongelea gari za kichina za umeme wewe unaongelea gari ya Kimerekani, mbingu na ardhi.

Hiyo Ford, sawa kabisa ushuru huo. Si bei yake kubwa.
Sema ukiinunuwa hiyo ukiitunza inakupunguzia gharama za kuwa nayo (repair anf maintanance) kuliko mtumba.
 
Magari sasa hivi ni umeme na hydrogenation tu duniani huko. Haya ya mafuta wanaya ohase out na kuya dump kwetu huku kidogo kidogo, na sisi tubadilike.
 
Sema hata Ulaya bado wanatumia gari za mafuta bado hizo za umeme performance yake ipo chini hasa zile za kubeba mizigo mizito (heavy- duty) eg trucks
 
Ulaya kinachowazuia ni kulinda maslahi ya viwanda vilivyopo, wanavi phaseout kidogo kidogo.

Muda mchache ujao utaona gari za umeme na za hydrogenation zimejaa.

Sasanhivi nchi nyibgi Ulaya hata mabasi ya mjini yameanza kuwa ya umeme.

Nawashangaa mwendokasi hapa kwetu kung'ang'ania teknoloji za kizamani.
 
Huko be forward hawanunui Kwa mtu? Au ulidhan be forward Wana viwanda vya magari?
Unachokisema sikielewi ila najua wao wananua kwenye kampuni za kijapani ambazo sio kama hizo za kibongo za kibabaishaji na hakuna kitu wanachakachua nikitu nakijua na nimefanya sana wale sio wababaishaji kama nyie wabongo
 
Chukua chuma hizi Allex, Runx, Corolla x, premio, allion, spacio au IST kaa ndani ya mojawapo ya hizi chuma huto juta ikikupendeza zaidi daka rumion.
 
Ulaya kinachowazuia ni kulinda maslahi ya viwanda vilivyopo, wanavi phaseout kidogo kidogo.

Muda mchache ujao utaona gari za umeme na za hydrogenation zimejaa.

Sasanhivi nchi nyibgi Ulaya hata mabasi ya mjini yameanza kuwa ya umeme.

Nawashangaa mwendokasi hapa kwetu kung'ang'ania teknoloji za kizamani.
Yap. Nimeona Madrid hata Amsterdam wanatumia mabasi ya Umeme Mjini. tram/metro pia
 
Chukua chuma hizi Allex, Runx, Corolla x, premio, allion, spacio au IST kaa ndani ya mojawapo ya hizi chuma huto juta ikikupendeza zaidi daka rumion.
Je akichukua Toyota Volt vip mana ina Space kubwa sana naiman ataenjoy maana ina buti la kutosha na sura yake siyo mbaya hata consumption yake ni nzuri pia hata akitaka kuuza anapata mteja. ni gari ipo Unique siyo yebo yebo sana kama hizo ulizozitaja hapo
 
YA pia ipo juu kidogo
 
Back
Top Bottom