Kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari nzuri?

rayruy

Member
Mar 29, 2022
7
18
Wanajamvi Salaam.

Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.

Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
 
Mimi nimetumia subaru impreza, allex na wish pia nimeendesha. Toyota Allex na impreza zote zina cc 1490 japo impreza inakula sana mafuta kulinganisha na hii ya Toyota Allex. Kwenye stability impreza inaizidi kidogo allex japo changamoto yake ipo chini sana hii gari. Allex pia ipo stable sana. Nadhani kwa gari ndogo za Toyota Allex ndo gari iliyo stable halafu nzito compared na na akina ist, vitz porte n.k. Allex zinakimbia sana mkuu. Kwa upande wa wish hii yenyew nadhani nyingi ni cc 1790, ni family car maana inabeba watu saba hadi nane na yenyew pia ipo stable
 
We chukua alex kwa ushauri wangu
Kwa haya magari mwanzoni utatafta gari nzri na iliyo stable, ndo mioyo yetu huwa inatutuma ivyo
Ila baada ya kumiliki tunapata kero nyingine ambayo ni mafuta, na hii ni kero kwelikweli maana bila mafuta ata gari ni zuri kiaje huliendeshi
Ila kwa kutamba na uzuri ni Impeza
Mi ningekushauri uongeze kidogo uchukue nissan dualis
 
Mimi nimetumia subaru impreza, allex na wish pia nimeendesha. Toyota Allex na impreza zote zina cc 1490 japo impreza inakula sana mafuta kulinganisha na hii ya Toyota Allex. Kwenye stability impreza inaizidi kidogo allex japo changamoto yake ipo chini sana hii gari. Allex pia ipo stable sana. Nadhani kwa gari ndogo za Toyota Allex ndo gari iliyo stable halafu nzito compared na na akina ist, vitz porte n.k. Allex zinakimbia sana mkuu. Kwa upande wa wish hii yenyew nadhani nyingi ni cc 1790, ni family car maana inabeba watu saba hadi nane na yenyew pia ipo stable
Wish ground clearance Ni Majanga
 
Nunua Alex maana zipo vizuri sana hata ulaji wake wa mafuta upo vizuri na spea zake zinapatikana kirahisi ila ushaurii usinunua kwa mtuu agiza Be forward Japan usinunue kwa mtuu
 
Wanajamvi Salaam.

Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.

Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Wachana na mitumba.

Nunuwa gari brand new za umeme za kichina. Bei poa tu. Unalitunza kwa miaka michache ijayo unanunua lingine, zitakuwa zimeshatoka new model.

Watanzania tunajitia nuksi kwa mitumba, magari mitumba, mabehewa mitumba, nguo mitumba, nguo za ndani mitumba, mapazia mitumba, ma friji mitumba, tv mitumba, vijiko, sahani, nasufuria mitumba.

Mpaka waume na wake mitumba. Sikh hizi. Mpaka makalio mitumba.

Halafu tunajiuliza kwanini hatuendelei, minuksi yote hiyo tuendelee nini?

Ukitaka kuendelea wachana na mitumba.
 
Wachana na mitumba.

Nunuwa gari brand new za umeme za kichina. Bei poa tu.

Unalitunza kwa miaka michache ijayo unanunua lingine, zitakuwa zimeshatoka new model.

Watanzania tunajitia nuksi kwa mitumba, magari mitumba, mabehewa mitumba, nguo mitumba, nguo za ndani mitumba, mapaziw mitumba, ma friji mitunba, tv mitunba, vijiko, sahani, nadufutia mitumba.

Ndiyi maana mpaka waume na wake mitumba.

Hakafubtunajiuliza. Kwanini hatuendelei, minuksi yote hiyo, tuendelee nini?

Ukitaka kuendelea wachana na mitumba.
Tatizo kodi
 
Back
Top Bottom