Kama umeona kina faida kwa nini unatumia nguvu kubwa ya kutaka kufundisha au kuelekeza kwa malipo.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,701
8,905
Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la malipo watu walipie.
Au watu wa mikeka aka bettting

Kuna mashaka sana na hawa watu wa forex na betting
 
Pyramid scheme.
 
Huko kwenye group au darasa ndiko wanapopigwa wajinga wajinga kiufupi huko ndio wanapojipatia pesa Hawa wahuni wa forex mbali na hapo hakuna pesa wanayoipata.
 
Soko gumu ndio maana wanataka kufundisha watu, biashara ya forex haina uhalisia ni kama sorted gambling .

uhakika ni mdogo wa kupata pesa , matajiri ni wauza vitabu na mentors...Shtukeni hamna maisha huku swaga zinafanana wote kujinadi.
 
Back
Top Bottom