The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 667
- 1,421
Aaah hapana nakataa....Kuna ndugu yangu kaajiriwa hapo juzi analipwa 2.3MZamani walikuwa wanawalipa si chini ya milioni 2 ili kuwavutia ila sasa na uhaba huu wa ajira. Hata milioni hawalipwi kwa waajiriwa wapya