Kama mwenye chuo angethamini hizo roho asingeweka ada. Au serikali ingelipa ada zote bureKwa kuzingatia roho ngapi hao madaktari wataweza kuokoa baadae?
Huyu angalau anaunafuu fulani ila vyuo vingine vya peivate kwa mwaka ni zaidi ya 8m kama St Francis Mwanza university registration too ni laki tano na analipwa kila semister kampala internatinal ada yao 7m ila mengine mpaka 8m, kwa kweli hiyo pesa ni ndogo ukilinganisha na vyuo vya nje ila uchumi wetu ni mdogo sana mtoto wa mkulima hawezi hizo millioni zote.View attachment 2893856
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Kwa hiyo hamtaki kuwa na madaktari wa kutosha?
Hamtaki kugundua mambo katika utabibu?
Mnaishia kufikiria mshahara tu?
Kwani lazima mtu mwenye ujuzi wake afanye kazi Tanzania?
Kwa taarifa yenu hiyo ada ukiiweka katika viwango vya kimataifa ni ndogo sana, tatizo uchumi wenu mdogo tu.
Kwenda medical school kwa ada ya milioni 6.4 kwa mwaka itakuwa ni kati ya ada rahisi kabisa duniani. Kuna watu wanalipa zaidi ya ada hiyo kusomesha watoto shule ya msingi tu. Hapo hapo Tanzania.
Kuna nchi hiyo ni ada ni robo ya ada ya mwaka mmoja tu.
Kwa kuzingatia roho ngapi hao madaktari wataweza kuokoa baadae?
Ila wewe jamaa
Muhimbili inakua subsidised na serikali ila rate ya per student ni zaidi ya 1.8m kwa mwaka, kwahiyo serikali inagharamikia kiasi kingineBugando, KCMC bei zao zikoje?
Muhimbili ada ya udaktari ni 1.8m kwa mwaka
Bugando, KCMC bei zao zikoje?
Muhimbili ada ya udaktari ni 1.8m kwa mwaka
KCMC ni 4M na sehemu nadhani kwa Bugando ni 5M na sehemu..
Acha uongo hamna chuo cha private ambacho kipo chini ya 6m ada ya udakitari nchi nzima katika vyuo vya privaye ni kati ya 6 to 8mKCMC ni 4M na sehemu nadhani kwa Bugando ni 5M na sehemu..
Muuza chips tu kwa siku akikosa anakunja elfu 30, faida, kwa mwezi laki ,9Kwahiyo inakuwa around 45 millions.
Ni mjinga pekee atatoa hiyo pesa ili mwanae aajiriwe kwa shida na kulipwa milioni 1.
Ikumbukwe pia mtaani kuna madaktari waliokosa ajira , wamekwenda private wanalipwa laki 6 , laki 7 au pungufu. Na kupata huko private mpaka uunganishwe.
Mgambo miezi 5 bure Mwembeyanga ukipata ajira Bandari kama mlinzi mshahara wako unamzidi Daktari.
Vijana machaguo ni yenu