Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 15,937
- 38,050
I hope mko vyema
Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana
Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani
LEMONADE MOCKTAIL mahitaji:
1. Kata ndimu Yako slice 4 weka Tatu kwenye glass moja acha kwaajili ya kupambia
weka na majani 5 ya mint pamoja na sukari kiasi upendacho
2. Chukua kifaa Cha kupondea ulichooandaa Kama ni msukumio au chochote anza kuponda mchanganyiko wako taratibu Kwa sekunde 30
3. Weka vipande vya barafu (icecubes) kwenye glass yenye mchanganyiko wako. Weka slice ya ndimu ilobaki kama pambo
4. Miminia soda ya sprite kwenye glass Yako koroga tayari Kwa kunywa
Inapunguza hangover
Hufanya ujisikie vizuri
Mint na limao husaidia digestion
NB kama utatumia limao bas weka kiasi kama ni kubwa sio lazima kutumia lote
Nawatakia weekend njema
😍Nawapenda

- Glass 1
- Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako
- Ndimu/limao 1
- Majani ya mnanaa(mint)
- Sukari kijiko kimoja sio lazima unaweza usiweke kama hupendi sukari au ukaweka kidogo
- Soda nyeupe(sprite)
- Vipande vya barafu(icecubes)