Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

I hope mko vyema
Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana
Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani
LEMONADE MOCKTAIL mahitaji
Glass 1
Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako
Ndimu/limao 1
Majani ya mnanaa(mint)
Sukari kijiko kimoja sio lazima unaweza usiweke kama hupendi sukari au ukaweka kidogo
Soda nyeupe(sprite)
Vipande vya barafu(icecubes)

Namna ya kutengeneza
1.kata ndimu Yako slice 4 weka Tatu kwenye glass moja acha kwaajili ya kupambia
weka na majani 5 ya mint pamoja na sukari kiasi upendacho
2.chukua kifaa Cha kupondea ulichooandaa Kama ni msukumio au chochote anza kuponda mchanganyiko wako taratibu Kwa sekunde 30
3.weka vipande vya barafu(icecubes) kwenye glass yenye mchanganyiko wako
Weka slice ya ndimu ilobaki kama pambo
4.miminia soda ya sprite kwenye glass Yako koroga tayari Kwa kunywa

Inapunguza hangover
Hufanya ujisikie vizuri
Mint na limao husaidia digestion

NB kama utatumia limao bas weka kiasi kama ni kubwa sio lazima kutumia lote
Nawatakia weekend njema
😍Nawapenda View attachment 2907979View attachment 2907984View attachment 2907986
Sijaelewa uje home tufanye pamoja ee
 
Na umri wangu wote nilikuwa sijui kama Mint ndo Mnanaa kwa kuswahili..
Shukrani sana
 
Hii ni Mojito Virgin eeh..
Maana Sioni VODKA au GIN hapo.ukimention..
Au hata Spirit
 
Kwa mtu kama Mad Max unamwongezea na rum 🔥
IMG_2155.jpeg
 
Back
Top Bottom