Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

Mm huwa natengeza mixer ya limao maji na sukari. Inakuwa kama bitter lemon inafaa kunywa kama juisi au kumix na vitu vizito, huna haja ya soda.
 
Kwa mtu kama Mad Max unamwongezea na rum 🔥 View attachment 2908014
Last weekend nilioverdose SIB.

Niliomba kukuche aisee.. Kitanda kilikua kinapinduka, nikalala chini ardhi inageuka, nikaenda bafuni nikafungua maji yakawa yananimwagikia.. Nikachukua ndoo nikaigeuza nikakalia uku shower inanimwagikia, nikasinzia..

Oya..

Asubuhi nakuta nimetuma msg kwa watu kibao kwamba nakufa, nishaacha hadi urithi wa makochi,, oya..

Nilichobugi sema nikijua.. Bia mbili za mwisho niligida fasta fasta coz nilikua ndio tunasepa,, hafu fasta nikafikia kulala.... Kumbe inabidi tokea kast beer uinywe atleast acha 1 hour ndio ukalale . Na sikua na Fanta orange ya kupooza rejeta..

Next week am back with Smirnoff Ice Black babe
 
I hope mko vyema

Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana
Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani

LEMONADE MOCKTAIL mahitaji
Glass 1
Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako
Ndimu/limao 1
Majani ya mnanaa(mint)
Sukari kijiko kimoja sio lazima unaweza usiweke kama hupendi sukari au ukaweka kidogo
Soda nyeupe(sprite)
Vipande vya barafu(icecubes)

Namna ya kutengeneza
1.kata ndimu Yako slice 4 weka Tatu kwenye glass moja acha kwaajili ya kupambia
weka na majani 5 ya mint pamoja na sukari kiasi upendacho
2.chukua kifaa Cha kupondea ulichooandaa Kama ni msukumio au chochote anza kuponda mchanganyiko wako taratibu Kwa sekunde 30
3.weka vipande vya barafu(icecubes) kwenye glass yenye mchanganyiko wako
Weka slice ya ndimu ilobaki kama pambo
4.miminia soda ya sprite kwenye glass Yako koroga tayari Kwa kunywa

Inapunguza hangover
Hufanya ujisikie vizuri
Mint na limao husaidia digestion

NB kama utatumia limao bas weka kiasi kama ni kubwa sio lazima kutumia lote
Nawatakia weekend njema
😍Nawapenda View attachment 2907979View attachment 2907984View attachment 2907986
Una kiwanja chako 20 kwa 20 Mbinguni.
 
Last weekend nilioverdose SIB.

Niliomba kukuche aisee.. Kitanda kilikua kinapinduka, nikalala chini ardhi inageuka, nikaenda bafuni nikafungua maji yakawa yananimwagikia.. Nikachukua ndoo nikaigeuza nikakalia uku shower inanimwagikia, nikasinzia..

Oya..

Asubuhi nakuta nimetuma msg kwa watu kibao kwamba nakufa, nishaacha hadi urithi wa makochi,, oya..

Nilichobugi sema nikijua.. Bia mbili za mwisho niligida fasta fasta coz nilikua ndio tunasepa,, hafu fasta nikafikia kulala.... Kumbe inabidi tokea kast beer uinywe atleast acha 1 hour ndio ukalale . Na sikua na Fanta orange ya kupooza rejeta..

Next week am back with Smirnoff Ice Black babe
Pole sana 😂😂😂🙌 next time ukilewa usishike simu. Utakuja kuahidi watu mamilioni ujue!

Sijawahi kulewa. Hahaa nakunywaga km sinywi afu kumbe ndo nakunywa. So sjui mtu akilewa sana anakuwaje kuwaje anavyojisikia.
 
Back
Top Bottom