Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

Nikajua labda wapishi wazoefu mnazandani ndani kumbe na wewe hola? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Labda Kina shishi Aje aondoe huu utata hii ni shutuma nzito mnoπŸ˜€
Nimelia sana
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Basi nafikiri utakuwa unasukuma sana kati hata ukandie mafuta Lita saba ukisukumansana kati Inakuwa kaukau

Kusukuma kati nilishaambiwa na nikaiacha
Basi tu chapati ziliamua kunikataa na nimekubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom