INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 1,801
- 16,565
- Thread starter
- #12,561
Bora hata wewe uliye shukuru, tukutane J5.INSIDER MAN Asante kwa kutukumbuka
Bora hata wewe uliye shukuru, tukutane J5.INSIDER MAN Asante kwa kutukumbuka
Ni kweli unazingua hatari. Nilijua ni huku tu kijijini,au voda,kumbe na town?. Japo mitandao ya Tz siku hizi wananyang'anya tu hela,inazingua hatari.Mtandao leo unazingua nimepost muda sana kumbe haijafika
Thanks kwa mda wako...ImefikaaMtandao leo unazingua nimepost muda sana kumbe haijafika 🙌🏿
Insider, huyu mama kakuelewa, usimkazie, kujua roho mpige paipu, la mwisho, kama unanamba ya pisi yeyote ya Ethiopia kindly nitumie inbox nitoe mkosi, nimechoka kula haya mangungulumbeee
DahNaomba ni we mmojawapo
Sio kila mtu anataka paipuInsider, huyu mama kakuelewa, usimkazie, kujua roho mpige paipu, la mwisho, kama unanamba ya pisi yeyote ya Ethiopia kindly nitumie inbox nitoe mkosi, nimechoka kula haya mangungulumbeee
Hongera sana, sasa habari ya u handsome inatoka wapi hapa mumama?Sio kila mtu anataka paipu
Nina mwanaume handsome na mwenye pozi zote kama za INSIDER MAN . Kwa kifupi ninampenda
lazima awe si kalipata zoba lakeIla Irene ana kisirani
Mtakufa kwa wivulazima awe si kalipata zoba lake
kama weweIla Irene ana kisirani
wivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuuMtakufa kwa wivu
Bahati mbaya huwezi kujijua ushamba wako.wivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuu
nashangaa kuna watu wamepagawa kabisa au ni kwakuwa wametokea pawagawivu kwa fiction story? ushamba mzigo pole mkuu
ACha tu mkuu mpk unashangaa wanakula chakula au funzanashangaa kuna watu wamepagawa kabisa au ni kwakuwa wametokea pawaga
Umekula lakini?Bahati mbaya huwezi kujijua ushamba wako.
Pamoja na kichwa chako kibovu fikiria umefika sehemu umekuta umati wa watu zaidi ya 1000 wanafurahia kitu fulani. Ukafika wewe mtu mmoja tu ukaanza kuki-crash,kukiponda kitu wanachofurahia watu zaidi ya 1000. Utasema zimo humo kichwani??? Kwamba wewe mmoja peke ndio muelewa kati ya hao 1000???.
Labda tu uwe na viwili kati ya hivi DISH LIWE LIMEYUMBA AU UWE MCHAWI.
Japo najua kwa upeo wako napoteza muda tu kukujibu.
Fanya Research viwanja vya dizaini hii vinakuwa na fujo sana, hakuna ustaarabu.Mwamba umenifurahisha hapa
"Mimi sipendelei maeneo yenye uswahili na viwanja ambavyo kila mtu anaweza ku-access mimi huwa siendi." 😂😂😂