Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,130
1,940
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni

-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja
-Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria
-Wanapomfikia mteja wanamsisitiza a Cancel route jambo ambalo linahatarisha usalama wa abiria kwasababu anakuwa off endapo limetokea tatizo lolote kampuni hazitaweza kufuatilia nyendo
-Wanamlazimisha abiria aongeze nauli huku wakidai umbali wake ni mrefu sana na pia afidie gharama za dereva kurudi kwasababu hatakuwa na abiria wa kurudi hata hivyo kampuni ndiyo inafaidika huku madereva wakiwa na hali mbaya
-Kutokupokea requests wakidai abiria anakwenda mbali sana

Kero hizi zimekuwa zikiwachukiza sana abiria wengi na wengi wameacha kabisa kutumia usafiri huu na kuanza kujinunulia usafiri wao binafsi jambo ambalo litaathiri kabisa biashara hii

Ushauri kwa kampuni ya Bolt na Uber
-Baada ya request kupokelewa kusiwe na possibility yeyote ya ku cancel mpaka mwisho wa safari
-Kuwe na kitengo cha kureport dereva anayelalamikia bei ili kampuni zimwondoe kwenye system zao

Kama dereva huridhiki na kazi hii au huridhiki na bei ya abiria acha kufanya kazi hii tafuta kazi nyingine na siyo kuwasumbua abiria, waache madereva wanaothamini shillingi waendelee kwasababu kero yako dereva inaua kampuni hizi kwa kutengeneza picha chafu kwa wateja bila kujali kuwa zimewekeza mamilioni ya fedha.
 
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni

-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja
-Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria
-Wanapomfikia mteja wanamsisitiza a Cancel route jambo ambalo linahatarisha usalama wa abiria kwasababu anakuwa off endapo limetokea tatizo lolote kampuni hazitaweza kufuatilia nyendo
-Wanamlazimisha abiria aongeze nauli huku wakidai umbali wake ni mrefu sana na pia afidie gharama za dereva kurudi kwasababu hatakuwa na abiria wa kurudi hata hivyo kampuni ndiyo inafaidika huku madereva wakiwa na hali mbaya
-Kutokupokea requests wakidai abiria anakwenda mbali sana

Kero hizi zimekuwa zikiwachukiza sana abiria wengi na wengi wameacha kabisa kutumia usafiri huu na kuanza kujinunulia usafiri wao binafsi jambo ambalo litaathiri kabisa biashara hii

Ushauri kwa kampuni ya Bolt na Uber
-Baada ya request kupokelewa kusiwe na possibility yeyote ya ku cancel mpaka mwisho wa safari
-Kuwe na kitengo cha kureport dereva anayelalamikia bei ili kampuni zimwondoe kwenye system zao

Kama dereva huriziki na kazi hii au huriziki na bei ya abiria acha kufanya kazi hii tafuta kazi nyingine na siyo kuwasumbua abiri, waache madereva wanaothamini shillingi waendelee kwasababu kero yako dereva inaua kampuni hizi kwa kutengeneza picha chafu kwa wateja bila kujali kuwa zimewekeza mamilioni ya fedha

Suala la ku cancel usiangalie kwa faida ya dereva tu. Hata abiria anaweza kuhitaji ku cancel ikiwa kuna changamoto anaona.
 
Kuna siku nilipanda Gari ya Bolt, tulikuwa wawili na mwenzangu, nauli ilisoma na tukachangia nauli, mimi nilishuka njiani mwenzangu akaendelea, alipofika dereva kamkomalia eti aongeze nauli route ilikuwa ndefu sana, yule jamaa naye kwakuwa hakuwa mzoefu sana ilibidi amuongezee hela...
 
broh... jaribu kuifanya hiyo kazi hata kwa siku mojatu... harafu uje na hili andiko lako...!

bolt wanachukua asilimia kubwa sana ni 24% ya nauli yoyote utakayo mlipa dereva.

ukimlipa dereva shilingi 1000/= bolt wanachukua shilingi 260/= ambayo ni sawa na hiyo asilimia 24%

ukifanya trip ya shilingi 9000/= bolt yakwao ni 2,160/= sasa elfu 9000-2160=6,840

hiyo 6840/= atakayo baki nayo dereva atoe pesa ya mafuta nadhani kwa Trip hiyo atatumia Nusu Lita ambayo ni sawa 1800 hivi ...

huku uliko mpeleke huyo dereva anaweza kweli asipate abiria akajikuta anarudi hadi starting point bila abilia.

alivyoenda alitumia nusu Lita ya petroleum kurudi pia ata tumia Nusu lita.
1650+1650=3300

tuchukue sasa ile asilimia 76 aliyobaki nayo dereva tuitoe na hayo mafuta aliyo tumia...!

6840-3300=3,540

dereva anabakiwa na 3540 pekee kwenye safari ambayo wewe ulipi toa pesa yako elfu 9000/= uliiona nyingi kuwa una mfaidisha dereva mwisho wa siku ni maumivu sana kwa huyo dereva.

2160/= wanayo ichukua bolt ni ya bure tu.

awatoi mafuta kwa dereva, awamnunulii hata vocha, chombo cha usafiri ni cha dereva mwenyewe amekipata kwa mbinu zake mwenyewe kwa mkopo au kwa mbinu yoyote.

mwisho wa siku dereva huyu akipata ajari ana baki yeye na ndugu zake... Bolt hawato msaidia chochote...! bila kujali wamechukua 24% kwenye kila trip ya huyu dereva....!

tubishane kwa hoja usiwatetee hayo makampuni ni wanyonyaji sana... bora hata UBER
 
Wanaharibu? Ni msaada mkubwa sana.......... jitahidi kubadilika na technologia.....yaani ukiwa ubungo kwenda Kkoo kwa bolt,farasi au Uber haizidi Elf 5 kwa pikipiki na elf 7-10 kwa Balaji kama hali ya hewa ni kawaida,nenda kijiweni sasa bodaboda atakwambia Elf 10+ , Bajaji Elf 15+ ..

Bei za mnaokaa kijiweni nikama vita,sasa mtasinzia sana
 
Unakubali kuingia kutoa huduma ya Uber au Bolt ukiyajua yote ulioandika au unakuwa hujui?
 
Kama unaona hiyo pesa ni kidogo, sio lazima uendelee nao. Tafuta abiria kwa mbinu zingine au lah! Acha hizyo biashara
 
Sasa kwann uingize gari Yako ktk biashara kama hii au wanalazimishwa?
 
Wanaharibu? Ni msaada mkubwa sana.......... jitahidi kubadilika na technologia.....yaani ukiwa ubungo kwenda Kkoo kwa bolt,farasi au Uber haizidi Elf 5 kwa pikipiki na elf 7-10 kwa Balaji kama hali ya hewa ni kawaida,nenda kijiweni sasa bodaboda atakwambia Elf 10+ , Bajaji Elf 15+ ..

Bei za mnaokaa kijiweni nikama vita,sasa mtasinzia sana
sijui amekula maharage ya wapi angejua makato wanayo pata hao madereva wa uber .. asingekuja na kuandika haya aliyo andika​
 
broh... jaribu kuifanya hiyo kazi hata kwa siku mojatu... harafu uje na hili andiko lako...!

bolt wanachukua asilimia kubwa sana ni 24% ya nauli yoyote utakayo mlipa dereva.

ukimlipa dereva shilingi 1000/= bolt wanachukua shilingi 260/= ambayo ni sawa na hiyo asilimia 24%

ukifanya trip ya shilingi 9000/= bolt yakwao ni 2,160/= sasa elfu 9000-2160=6,840

hiyo 6840/= atakayo baki nayo dereva atoe pesa ya mafuta nadhani kwa Trip hiyo atatumia Nusu Lita ambayo ni sawa 1800 hivi ...

huku uliko mpeleke huyo dereva anaweza kweli asipate abiria akajikuta anarudi hadi starting point bila abilia.

alivyoenda alitumia nusu Lita ya petroleum kurudi pia ata tumia Nusu lita.
1650+1650=3300

tuchukue sasa ile asilimia 76 aliyobaki nayo dereva tuitoe na hayo mafuta aliyo tumia...!

6840-3300=3,540

dereva anabakiwa na 3540 pekee kwenye safari ambayo wewe ulipi toa pesa yako elfu 9000/= uliiona nyingi kuwa una mfaidisha dereva mwisho wa siku ni maumivu sana kwa huyo dereva.

2160/= wanayo ichukua bolt ni ya bure tu.

awatoi mafuta kwa dereva, awamnunulii hata vocha, chombo cha usafiri ni cha dereva mwenyewe amekipata kwa mbinu zake mwenyewe kwa mkopo au kwa mbinu yoyote.

mwisho wa siku dereva huyu akipata ajari ana baki yeye na ndugu zake... Bolt hawato msaidia chochote...! bila kujali wamechukua 24% kwenye kila trip ya huyu dereva....!

tubishane kwa hoja usiwatetee hayo makampuni ni wanyonyaji sana... bora hata UBER
Kama kazi haikulipi na kampuni ni wanyonyaji si uiache kuliko shida zako kumpa mteja
 
Back
Top Bottom