Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,318
- 2,267
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni
-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja
-Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria
-Wanapomfikia mteja wanamsisitiza a Cancel route jambo ambalo linahatarisha usalama wa abiria kwasababu anakuwa off endapo limetokea tatizo lolote kampuni hazitaweza kufuatilia nyendo
-Wanamlazimisha abiria aongeze nauli huku wakidai umbali wake ni mrefu sana na pia afidie gharama za dereva kurudi kwasababu hatakuwa na abiria wa kurudi hata hivyo kampuni ndiyo inafaidika huku madereva wakiwa na hali mbaya
-Kutokupokea requests wakidai abiria anakwenda mbali sana
Kero hizi zimekuwa zikiwachukiza sana abiria wengi na wengi wameacha kabisa kutumia usafiri huu na kuanza kujinunulia usafiri wao binafsi jambo ambalo litaathiri kabisa biashara hii
Ushauri kwa kampuni ya Bolt na Uber
-Baada ya request kupokelewa kusiwe na possibility yeyote ya ku cancel mpaka mwisho wa safari
-Kuwe na kitengo cha kureport dereva anayelalamikia bei ili kampuni zimwondoe kwenye system zao
Kama dereva huridhiki na kazi hii au huridhiki na bei ya abiria acha kufanya kazi hii tafuta kazi nyingine na siyo kuwasumbua abiria, waache madereva wanaothamini shillingi waendelee kwasababu kero yako dereva inaua kampuni hizi kwa kutengeneza picha chafu kwa wateja bila kujali kuwa zimewekeza mamilioni ya fedha.