Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimesoma comments za waja kuhusu Maguire kutishia kuondoka Man U baada ya ile assist yake, nikakumbuka namna Insider naye alivyopata kiburi baada ya kumla Iryn 🤣 🤣 watu sijui mliwaza nini kumbatiza jina jamaa
Nimecheka sana tisho na Maguire kuondoka Man Utd ni kijana fulani wa hovyo mno.
 
Iryn anasema “kilichotokea kati yetu ni ajali tu mana mama j ni rafiki yangu” at the same time anamwonea wivu bwana insider kukaa na demu bar

Kweli wanawake hatujui tunataka nn na kuna muda tuna kaunafki sana eniweiii tuwe makini na hawa watu wanaosema ni marafiki zetu
😂😂Maisha bila unafiki hayaendi.......
 
Upo bosi? Nikajua ulikufaga na Magufuli ukaja ukazikwa na Makonda. Umeadimika ajuza?

Hayo yote yanakuhusu wewe na yawe kivyako. Umebadili ID 😂😂😂 sikushangai ajuza wewe.. maana futi sita yenu inajifunika kila mara

Ungesoma Kila post ajuza ungenisoma.. nipo kama kawa

Kazi iendeleee..
 
Code nyingi tushazifungua wenyewe kwa Mfano Kwa Utafiti Wangu Mzee Pama Alizikwa Iringa Na Sio Tabora Na Alikua Mzee Mmoja White Hivi Suriama wa kijerumani INSIDER MAN@INSIDER MAN prove me wrong

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Kwakua alikuwa anavaa Pama, basi ukajiongeza ni yeye,ila yule hakufia nje hata kama ni yeye hawezi kusema 😂
 
Kwa upande mwingine niliishia kusoma story na kwa upande wangu nikaona bora nicomment na nikaishia kufurahi tuu. Kwa upande mwingine wadau wanaishia kuifurahia story nasubiri kuona kwa upande wa wanaosema hii ni chai wanaendeleaje.
kwa upande mwingine niko nasubiria next episode kwa hamu sana.
 
Kwa upande mwingine inawezekana akawa anaihariri muda huu kabla ya kuitupia ili Kwa upande mwingine mpate kufurahi😅😅
 
Sio mali yake sasa unafanya nini kwenye thread yake? Au unataka kutongozwa? alishawai kukutag hapa si ulijeta mwenyewe?. Unakuta mwanaume mzima ba ndevu unalilia Epsode
Thread ikiwekwa humu siyo mali yake tena ni mali ya uma, otherwise angeweka chumbani kwake. Halafu ficha aibu zako, don't drag me to your level.
 
Back
Top Bottom