moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,252
- Thread starter
- #121
Hapa umeua yote mkuuHiyo theory imeleta mjadala sana duniani, ipo somehow nonsense! Fikiria kuwa Hilter alikufa zamani sana, ukirudisha time ili umuue inakuwa ngumu sana, kwa sababu itafika mahali wewe unakuwa bado hujazaliwa, ukirudisha nyuma zaidi wazazi wako wanakuwa hawajaoana. Hivyo kama utaendelea kurudisha nyuma zaidi itafika mahali wazazi wako wanakuwa bado hawajazaliwa na hivyo kuongeza ugumu wa uwepo wako. Wakati huo Hilter ndo anazaliwa
cc Kiranga