jay john
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 429
- 250
sasa mkiu muda ni nini ni matendo tunayotenda ni dunia inavyojizungusha na kuzunguka jua au ni kitu ganiAngekuwa na speed ya mwanga, kwake kusingekuwa na future, time inge freeze, past, present na future yote ingekuwa kitu kimoja.
Akipita speed ya mwanga angeweza kujiona alivyokuwa zamani kutoka future, kwa sababu angeweza kufika future kabla mwanga wake haujafika, halafu akakaa na kuuangalia mwanga wake kutoka future.
Ni kama Usain Bolt akiweza kukimbia Zaidi ya spidi ya mwanga aweze kufika kwenye finish line kabla mwanga wake haujafika kwenye finish line, halafu akifika kwenye finish line, kwa sababu kashafika kwenye finish line kabla mwanga wake haujafika kwenye finish line, aweze kugeuka na kujiangalia jinsi alivyokuwa anakimbia kufika kwenye finish line.