Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,725
- 19,851
Mkuu hujui kama hujui unadhani ujuzi mpaka uende kusoma shule ? Hivi hii mada ni ya nani ni mfanyabiashara au ana nini ? Unajua maana ya Ujuzi ? Achana na story za maduka yako hio hapa ni immaterial na wala haimsaidii mtu turudi kwenye mada mimi nimekupa mifano kwanini Ujuzi unatrump Pesa wewe unakuja na hadithi za kwamba hauhitaji ujuzi (kwahio naweza kusema hujui maana ya haya maneno au unadhani mtaji ni Pesa pekee)Dogo acha maneno mengi ambayo ni pumba tupu mimi naitwa mnachihanguu nipo soko la mtwara nina duka la viatu na duka la vifaa vya ujenzi na mji wa tunduru nako nina duka la pembejeo za kilimo kwahiyo ninapokuambia kuwa biashara ni mtaji uwe unajua unaeongea nae ni mtu wa aina gani...kama wapo wa mtwara humu watakuwa wanayajua maduka yangu kwasababu ni maarufu hapa sokoni,Mimi sijasomea nadharia za kipuuzi kama zako bali mimi nipo uwanja wa vita kabisa
By the way kwanini duka lako lipo sokoni au hilo la pembejeo lipo huko lilipo na sio pengine ? (location)...; Kwahio mkuu hata kama wewe ndio ungekuwa ndio mgunduzi wa Biashara duniani au hapa naongea na Mo au Bhakresa au Dangote ukileta story za kwamba ujuzi hauna faida kwenye biashara ni kupotosha UMMA na hatuwezi tukakaa kimya sababu una duka la viatu, pembejeo na ni mfanyabiashara mkubwa...