Je kwa mtaji wa 2M naweza fungua biashara hizi mbili?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,488
3,500
Salaam Wanajukwaa

Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk..

Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili
1.Saloon ya kiume
2.Biashara ya chipsi

Kwa wew uliewahi fanya biashara ya chips unaweza toa uzoefu wako mtaji unaweza cost bei gani hadi deal kukamilika
Ishu kama ya jiko, kabati na mazagazaga yote

Vilevile na kwe wew walau unajua A B C biashara ya Saloon toa experience yako

Natanguliza shukrani
 
Fun

Fungua biashara zote mbili kwa mtaji huo huo

Ila kuna jamaa anaitwa@dr namugari analiiuza wazo zuri la biashRa mtafute
 
Back
Top Bottom