IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,551
2,184

Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
 
Je uhalisia upo hivyo au kuna kawashikia hao wengine baada ya huo mgao kupita maana kuna watu hata kula ya siku hakuna!
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Inauza kitu gani nje
 
Siasa zaMaji taka... Enzi za Nyerere , wakati nchi imefuta ujinga Kwa 80%,miradi ya maji ikijengwa Kwa Kasi, Afya Bure, Elimu Bure ... Nchi ilikuwa kwenye orodha ya Nchi Kumi Maskini!
Inasikitisha na ngumu kuelewa.
Ethiopia wananchi wake vijana wanakamatwa nchi jirani na wengine wakifia njiani kwenye malori wakisafiri kuelekea SA kutafuta nafuu ya maisha kwao umasikini umezidi huku uchumi wao mkubwa kuliko Kenya na Tanzania ambao vijana wao hawakimbii nchi zao sababu maisha mazuri.
 
Wewe sijui unakaa wapi. Una macho lkn hayaoni, una masikio lkn hayasikii. Labda wewe unaishi kwa shemeji yako Haiti.
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Gdp yetu imeshuka si ilikuwa 85..
Alafu kwanini Ethiopia gdp yao inakimbia sana wameshafika 205.. juzi tu walikuwa na 185 kitu gani kinawang'arisha hivo..
 
Back
Top Bottom