IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Sisi kwa rasilimali tulizonazo tulipaswa kuwa tunavutana na akina South Africa, Egypt na Nigeria.Tukidhibiti ufisadi,hakuna nchi ya kutukamata kusini mwa Afrika!
 
Uchumi ni mkubwa sana tu. Ila haijalishi maisha kuitwa mazuri au la.

Kama ni maisha magumu hapo wananchi wenyewe kwa wenyewe wanahusika.

Sasa nchi ikiwa na uchumi mkubwa lakini fulu kupigana marisasi, koo na koo, kabila na kabila au jirani na jirani unafikiri itakuwa na maisha mazuri? Unafikiri itakuwa na furaha?

Halafu mambo mengine tusijifanye ni ya kiajabu sana wakati kawaida tu. Kwani maisha mazuri na furaha ya mwanafamilia mmoja mmoja vinategemea pesa ya familia pekee? Au ni mgawanyo mzima wa ushirikiano na mshikamano wa kila mwanafamilia!!?

Basi na nchi ni hivyohivyo
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Samia hakamatiki
 
Hongera Tanzania hongera Rais Samia.
 
Safi sana Tanzania na CCM
 
Attachments

  • 502372C8-A3EA-49FF-8204-127F8811EB79.jpeg
    502372C8-A3EA-49FF-8204-127F8811EB79.jpeg
    158.1 KB · Views: 2
  • E3818B11-C1B3-45FE-BFE5-4C7305AA055E.jpeg
    E3818B11-C1B3-45FE-BFE5-4C7305AA055E.jpeg
    164.4 KB · Views: 3
  • 93CD7EAA-EE18-42D5-855E-8CB9E1E8A317.jpeg
    93CD7EAA-EE18-42D5-855E-8CB9E1E8A317.jpeg
    166.4 KB · Views: 2
  • F4C5F22D-257E-436E-9B04-BA44DBC34CAC.jpeg
    F4C5F22D-257E-436E-9B04-BA44DBC34CAC.jpeg
    162.9 KB · Views: 2
  • 12DA96A0-B191-495B-8D4D-B62BC00B16A0.jpeg
    12DA96A0-B191-495B-8D4D-B62BC00B16A0.jpeg
    175.7 KB · Views: 2
  • 3B7EF3C2-F8F3-4640-9F85-82B57775B718.jpeg
    3B7EF3C2-F8F3-4640-9F85-82B57775B718.jpeg
    164.6 KB · Views: 3

Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Hongera Tanzania
 
Back
Top Bottom