IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Safi sana
 
Uchumi ni mkubwa sana tu. Ila haijalishi maisha kuitwa mazuri au la.

Kama ni maisha magumu hapo wananchi wenyewe kwa wenyewe wanahusika.

Sasa nchi ikiwa na uchumi mkubwa lakini fulu kupigana marisasi, koo na koo, kabila na kabila au jirani na jirani unafikiri itakuwa na maisha mazuri? Unafikiri itakuwa na furaha?

Halafu mambo mengine tusijifanye ni ya kiajabu sana wakati kawaida tu. Kwani maisha mazuri na furaha ya mwanafamilia mmoja mmoja vinategemea pesa ya familia pekee? Au ni mgawanyo mzima wa ushirikiano na mshikamano wa kila mwanafamilia!!?

Basi na nchi ni hivyohivyo
Uchumi waweza kuwa mkubwa ukiwa mikononi mwa wageni. Hii ni changamoto pia ambayo ni kazi ya TISS kufanya uchunguzi na kushauri vitendo vya marekebisho kwenye Sera na uendeshaji wa siku kwa siku wa serikali na dola (uchumi waweza kuwa mkubwa kinadharia kwa wananchi).
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Awamu ya 5 tulikua wa saba. Sasa tumeshuka acheni kumsifu mama bure nyie machawa.
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Heko Mama Samia
 
Hiyo ndio kazi ya IMF kudanganya miafrika nayo inaamini kipumbavu tu hakuna kuumiza kichwa ili iendelee kujikoki vzr kufaidisha wazungu.KWELI CCM NI JANGA LA TAIFA.
 
Yaani kipimo hiko kipo generalize na hakuna comprehensive analysis....kipimo hiko ndio kinafanya nchi masikini raia wake tufe na presha za kulipwa 5ook kwa mwez majukumu kibao🥸
Kiufupi hiko kipimo ni useless kwa nchi maskini coz serikali wanataja pato la mtu mmojam1 kwa kukadiria..
Kipindi sina kazi nilikua nakaa wiki sijashika hata 1oo,
ila kwnye kipimo utakuta nipo kwenye wale wanaoingiza chini ya dola 1 kwa siku wakati siingizi hata 1oo....
By the way aliye juu mfate juu usisubiri ashuke utashtuk kumekucha😁
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu
Wewe ni matokeo ya kazi ya #Samia? Nchi inazidi kuwa na wajinga wengi kwelikweli!. Wanachojuwa ni kusifu tu, hata juu ya mambo wasiyo yaelewa kama ulivyofanya katika mistari hiyo miwili.
 
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,​

Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.

#Samia hakamatiki

====

Below are the 10 largest economies in Africa in 2024 according to IMF by GDP:​

RankCountryGDP (billions)
1South Africa$373bn
2Egypt$347bn
3Algeria$266bn
4Nigeria$252bn
5Ethiopia$205bn
6Morocco$152bn
7Kenya$104bn
8Angola$92bn
9Cote D' Ivoire$86bn
10Tanzania$79bn
Mmeshaanza kupika Takwimu kama Wakenya
 
Msi panic, uchaguzi ukiisha tunarudia nafasi yetu ya mwisho. haya mambo huwa yana nyakati zake. Kwa sasa tutaambiwa Tanzania ni mwanachama wa NATO.
 
Siasa zaMaji taka... Enzi za Nyerere , wakati nchi imefuta ujinga Kwa 80%,miradi ya maji ikijengwa Kwa Kasi, Afya Bure, Elimu Bure ... Nchi ilikuwa kwenye orodha ya Nchi Kumi Maskini!
With an annual GDP per capita of USD 532 (2011) and a Human Development Index rank among the lowest 20%, Tanzania is one of the poorest 15 nations in the world. More than two-thirds of the population live below the internationally recognized income poverty line of USD 1.25 per day and almost 90 pct.
 
Back
Top Bottom