Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
5,012
4,119

IMG-20240314-WA0099.jpg

Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa,​

Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa,

#Sasa 2025 tumuache Mama tuende kwa nani?

===

Below are 10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ report:​

Rank
CountryAverage MHQ
1Tanzania88
2Nigeria83
3Zimbabwe74
4Kenya72
5Democratic Republic of the Congo71
6Mozambique70
7Cote d'Ivoire69
8Cameroon67
9Tunisia67
10Angola64
 
===​

Mwenye nchi amekataa jana tu wao wanamlazimisha
 
Mleta mada lazima atakuwa ana ukichaa wa aina fulani.

Kama nchi ipo pamoja na DRC, Mozambique na Zimbabwe, inaeleweka maana yake.

DRC watu wanauawa kila leo, na ni kati ya nchi 10 maskini sana Duniani.

Zimbabwe mkate unauzwa kwa zim zaidi ya milioni, walimu wa sekondari kibao ni taxi drivers South Africa, na nurses wamejaa kwenye mahotel ya South Africa wakifanya kazi kama wahudumu.

Mozambique ndiyo hao wanaouawa na magaidi hovyo. Na nchi ni miongoni mwa nchi 10 maskini sana Duniani.

Wamesahau kuiweka kwenye list Burundi, nchi maskini kuliko zote Duniani.

Kenya choni ya Ruto, wafanyakazi wa Serikali wanakosa mpaka mishahara.

Rais Samia, ameyajua haya majitu yalivyo hovyo, na waongo. Ndiyo maana amewakemea na kuwaambia ni waongo. Hizi ndizo kazi za akini Mwigulu, kuhonga watumishi wa taasisi zisizo na uadilifu, ziandike mambo ya uwongo kuhusu Tanzania.
 
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa,​

Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa,

#Sasa 2025 tumuache Mama tuende kwa nani?

===

Below are 10 happiest countries in Africa according to the ‘Mental State of the World’ report:​

Rank
CountryAverage MHQ
1Tanzania88
2Nigeria83
3Zimbabwe74
4Kenya72
5Democratic Republic of the Congo71
6Mozambique70
7Cote d'Ivoire69
8Cameroon67
9Tunisia67
10Angola64
Acha urongo,na utuambie vigezo vilivyotumika kinagaubaga,na si kichawa,kunguni,kiroboto🤔
 
Mleta mada lazima atakuwa ana ukichaa wa aina fulani.

Kama nchi ipo pamoja na DRC, Mozambique na Zimbabwe, inaeleweka maana yake.

DRC watu wanauawa kila leo, na ni kati ya nchi 10 maskini sana Duniani.

Zimbabwe mkate unauzwa kwa zim zaidi ya milioni, walimu wa sekondari kibao ni taxi drivers South Africa, na nurses wamejaa kwenye mahotel ya South Africa wakifanya kazi kama wahudumu.

Mozambique ndiyo hao wanaouawa na magaidi hovyo. Na nchi ni miongoni mwa nchi 10 maskini sana Duniani.

Wamesahau kuiweka kwenye list Burundi, nchi maskini kuliko zote Duniani.

Kenya choni ya Ruto, wafanyakazi wa Serikali wanakosa mpaka mishahara.

Rais Samia, ameyajua haya majitu yalivyo hovyo, na waongo. Ndiyo maana amewakemea na kuwaambia ni waongo. Hizi ndizo kazi za akini Mwigulu, kuhonga watumishi wa taasisi zisizo na uadilifu, ziandike mambo ya uwongo kuhusu Tanzania.
Au hii ndio maana ya nchi ya kusadikika🤔
 
Back
Top Bottom