Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

Na hicho chumba kimoja umekijenga masaki mkuu?

Ila sio mbaya huyo njaa Kali ,but next time mkomeshe umeombe 0712..... Kama wew ni muumini but sometimes it's better to try a new things😁😁😁
 
Na hicho chumba kimoja umekijenga masaki mkuu?

Ila sio mbaya huyo njaa Kali ,but next time mkomeshe umeombe 0712..... Kama wew ni muumini but sometimes it's better to try a new things😁😁😁

Haujashauri kumsaidia.
Waweza kufanya hivyo ukidhani unamkomoa, kumbe yeye ikawa ni starehe yake.
 
Yeye mbona alikua anakufanyia majukumu ya mke, nawe ulipaswaa ufanye majukumu ya mume.

Sasa shida nn hapo?
 
Ila mkuu kumbe bado hamjaachana maana ni wewe tu hutaki apajue makazi mapya ila seems anytime ukitaka mbususu basi huna namna inabidi umfate... unless otherwise utamtumia kusafisha rungu maana huja. Declare popote kua wewe na yeye basi kutokana na tabia zake though heading ilikua ndio inaongea hivyo
 
Mizigo ikipokelewa ofisini huwa wanatoa taarifa kupitia namba ambazo zimeandikwa. Kutokana na mazoea ikitokea hali ya kubeba mizigo na kuichukulia kwake. Pitia maelezo hapo juu mkuu
Bado shida ipo kwako, anajuaje kwa mfano kama umenunua blender na imetumwa Kuja kwako.? Ilitakiwa vitu vingine unavituma kimya kimya avikute tu ghetto.
 
Sina mchepuko wa kudumu.wanawake ni pasua kichwa wanaomba hadi kero. Mimi kauli yangu ni moja nipe nikupe. Sitaki usumbufu.Uzuri ninamke nikiamua nabaki njia kuu. Kuchepuka nimaamuzi.kwa mwezi naweza kuchepuka mara moja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom