Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Na atapasuka mwaka huu mpaka tuhakikishe wanyarwanda wote tumewafurusha kwenye ardhi ya Kongo
Nilishakuambia akili yako imejaa matope,kajiunge jukwaa la wambeya na vijimambo,na unajiweka picha lako na jina la Nyerere ili iweje?unaharibu hilo jina na halitasaidia hoja zako za kibwege humu
 
Tuambie yanayojiri Goma na viunga vyake kijana kama kweli wayajua,
 
Vikosi vya serikali ya Congo na wapiganaji waasi wamepambana vikali katika siku ya tano ya mapigano mashariki mwa mji wa Goma.

Daktari mmoja aliyekuwa mstari wa mbele katika mapigano hayo amesema huduma za afya zimepata changamoto kubwa kutokana na majeruhi wengi. Mapigano baina ya jeshi la serikali na kundi la waasi wa M23 yalidumu usiku kucha kuanzia Jumamosi hadi Jumapili huko Mujoga takriban kilomita 17 kaskazini mwa Goma.

Daktari Isaac Warwanamiza kwa njia ya simu kuwa alikuwa hospitali pamoja na MAJESHI ya Tanzania yalioko katika jeshi la Umoja wa Mataifa wakisubiri kwenda mstari wa mbele na kwamba RAIA waliomzunguka hapo hospitalini walikuwa ni maiti na wengine wengi ni majeruhi. Alisema kufikia Jumapili asubuhi ya jana, watu 82 walikuwa wameuawa.

Wakati, huo, huo Marekani imesema imeshtushwa na ghasia zinazoendelea baina ya kundi la M23 na jeshi la FARDC mashariki mwa Congo. Katika taarifa iliyotolewa Jumapili jioni na wizara ya mambo ya nje ya Marekani ililaani hatua ya waasi wa M23 ya kusababisha majeruhi ya raia na kushambulia tume ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO na kupelekea raia wengi kutoroka makazi yao.
 
Watajuta kulijua JWTZ
 
Kwanza mkuu lazima utambue ili kuijenga Rwanda unatakiwa kuwa na raslimali za kutosha na Rwanda ni masikini kwa kila kitu,

Sasa interahamwe ambayo leo ni M23 inatumiwa na Kagame kuiba raslimali za Kongo na kwenda kuijenga Rwanda,

Hilo linakuja baada yakufeli kile kilichoitwa Mkataba wa Lemera wakuiuza Kogango ambao nimeuelezea hapo juu kwa kirefu sana,
Hujui lolote kuhusu Rwanda ur article is totaly gross ufudu mtupu.Hujui lolote bro angaika na Chadema ya Rwanda yanaitaji mtu makini sio wewe una copy kwenye site za wahutu na kutafsiri
 
Ndugu yangu nakubaliana na wewe kinadharia kwa hapa, lakini ili dunia na walimwengu waamini kuwa nilichoandika ni uongo basi wafanyie hisani kidogo, hebu wape ukweli wa wewe!
 
Dunia inaendeshwa kwa visa na visasi. Propaganda ni mtaji mkubwa katika siasa siku zote. Usimuamini mwanadamu mwenzako hata akiwa nduguyo wa damu. Nimejifunza mengi hapa akhsante Yericko Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Nimesikitishwa sana na kusudio la Tanzania kumuomba Mseveni kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Rwanda na Tanzania,

Nadhani moja ya makosa ambayo washauri wa rais watayajutia hili,

Napatwa na hofu mpaka najiuliza, ama tuna mamluki wa Kinyarwanda hapa Ikulu yetu Dar?
 
Mchawi mpe mwana alee
 
Dunia inaendeshwa kwa visa na visasi. Propaganda ni mtaji mkubwa katika siasa siku zote. Usimuamini mwanadamu mwenzako hata akiwa nduguyo wa damu. Nimejifunza mengi hapa akhsante Yericko Nyerere.

Kwa propaganda tu Kagame anaongaza kwa ukanda huu,
 
Last edited by a moderator:
Hujui lolote kuhusu Rwanda ur article is totaly gross ufudu mtupu.Hujui lolote bro angaika na Chadema ya Rwanda yanaitaji mtu makini sio wewe una copy kwenye site za wahutu na kutafsiri

Wewe ni Mtusi?

Haya lete historia ya kwako tukusome,
 
Maelezo yako ni marefu lakini hayana usahihi wa asilimia mia moja kuna sehemu ni dhana tu mfano ni pale unapoandika mauaji ya Kabila na Savimbi yalikuwa na mia moja huo ni upotoshaji umeandika unachodhani huna ushahidi.
 
Samahani kwa usumbufu mkuu, ni makosa ya kiuandishi, nilikuwa na maana ya "mwaka mmoja"

Kwa faida ya wasomaji nikuwa

Laurent-Desire Kabila (27 Novemba 1939 – 16 Januari 2001) alikwa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia Mei 1997 hadi kuuawa 2001. Alifuatwa na mwanawe Joseph Kabila.

Kabila alifika ikulu kwa kumpindua Mobutu Sese Seko.

Laurent Kabila alizaliwa katika familia ya Waluba huko Baudouinville (sasa Moba) karibu na Albertville (Kalemie) kando la Ziwa Tanganyika. Alisoma huko Ujerumani ya Mashariki na Paris akarudi Kongo baada ya uhuru wa nchi alipojiunga na umoja wa vijana wa chama cha Patrice Lumumba.

JONAS SAVIMBI

Jonas Malheiro Savimbi alikuwa ni kiongozi wa vita vya msituni nchini Angola. Savimbi alizaliwa 3 Agosti 1934 na kufariki 22 Februari 2002. Mwaka 1966 alianzisha vuguvugu la UNITA (kireno: União Nacional para a Independência Total de Angola) kama harakati ya kukomboa Angola kutoka ukoloni wa Ureno.

UNITA ilikuwa moja kati ya harakati tatu zilizoshindana. UNITA ilianza kama kikundi chenye itikadi ya kikomunisti kufuatana na itikadi ya Mao Zedong. Uadui kati ya wakomunisti wa Uchina na Urusi ulionekana katika mashindano ya UNITA dhidi ya MPLA iliyosaidiwa na Urusi. Baada ya uhuru mwaka 1975 MPLA ilitawala mji mkuu na serikali rasmi lakini Savimbi aliendelea kuipinga.

Savimbi alipata a kupokea baadaye usaidizi kutoka maadui wote wa MPLA bila kujali itikadi. UNITA ilipata misaada toka serikali mbalimbali duniani ili kuiondoa madarakani serikali ya MPLA (kireno: Movimento Popular de Libertação de Angola - Partido do Trabalho).

Savimbi alikuwa akipata misaada ya fedha na silaha toka serikali za Marekani, China, Afrika Kusini, Ivory Coast, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (wakati huo ikijulikana kama Zaire), Moroko, n.k. Serikali ya Angola ilikuwa ikipata misaada toka Urusi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani, Kuba, na Nicaragua.

Savimbi aliuawa vitani 22 Februari 2002.
 
Back
Top Bottom