Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Huwa nasikitika sana napoona sisi waafrica tunabaguana sababu ya ukabila.

Ukabila ni laana. Sio ajabu Mwenyezi Mungu aliamua kuwavuruga waisrael kwa lugha pengine ndio ulikuwa mwanzo wa ukabila na lugha.

Naamin waafrica sisi sote ni wamoja. Wewe unapua ndefu sijui nene hatutofautiani sana . We all from one place; mother Africa.

Nyie endeleeni na chuki na ukabila wa kipumbavu ambao ulipandikizwa na mzungu na mnafuata itikadi zao.

Shame!!
 
Hapo unamweleza nani mkuu?
 
Tanzania tuna wajibu mkubwa wa kui shape east Africa. Kama tulivyowasaidia south Africa, msumbiji na zimbabwe, basi hata hawa wanyarwanda tuwasaidie jamani.
Mbona tulirekebisha uganda, rwanda itatushindaje?
 
Unaomba msaada wakurudishwa kwenu?Haah Good luck!lets wait and see
 
Hujui lolote kuhusu Rwanda ur article is totaly gross ufudu mtupu.Hujui lolote bro angaika na Chadema ya Rwanda yanaitaji mtu makini sio wewe una copy kwenye site za wahutu na kutafsiri

Bora umeliona hilo,,,
 
Hii mada niliwahi kuisoma kitambo kidogo nadhani mwanzisha mada kajitahidi sana kueleza malengo ya muda mfupi na mrefu wa Bahima empire.
 
we ngoja msanii arudi ili mjieleze! inakuwaje kila mtu anayetaka kuwasaidia anapatwa na matatizo yanayofanana? Francois Mitterand, Mobutu, Kabila Mzee yaani listi haiishi, yaani mimi ningekuwa ndio msanii basi kulekule Marekani ningeagiza zoezi lakuwarudisha kwenu au mlipotoka kwenye misitu ya DRC kabla ya kurudi bongo, yani ningerudi nikakuta mshafungasha, watu gani nyie na nuksi ya namna hiyo? fanya mchezo na damu za watu, ila polepole na wengine wataanza kuwajuwa. Msijilinganishe na wakombozi wengine wakiafrica ambao walikuwa na sababu muhimu za kupigania nchi zao na kuziendeleza wakizingatia umoja kwanza sio nyie mnaotaka kufanya kinyume.
 
Back
Top Bottom