Ijue Rwanda, Kagame, Museveni na Uvamizi wao katika Ardhi ya Congo

Mbona hamna update ya vita dhidi ya M23? Nini kinaendelea?

Majeshi ya UN yanayoongozwa na JWTZ yamefanikiwa kuwarudisha nyuma M23 kutoka viunga vya Goma hadi Ruhengeri kaskazini magharibi mwa Rwanda,

Tanzania tumepeleka ombi UN la kutupa kibali cha kuwashughurikia rasmi!
 
nasikia hata harakati za m 23 za kuajiri askari watoto sasa zimehamia rwanda baada ya eneo kubwa la kaskazini mwa kongo kuwa chini ya UN chini ya JWTZ
 
Majeshi ya UN yanayoongozwa na JWTZ yamefanikiwa kuwarudisha nyuma M23 kutoka viunga vya Goma hadi Ruhengeri kaskazini magharibi mwa Rwanda,

Tanzania tumepeleka ombi UN la kutupa kibali cha kuwashughurikia rasmi!
Nilifikiri una akili kidogo na post zako nilikuwa nazipitia kumbe ovyoooo,umekuwa entertainer tuu wa kina mokalla na Rushasha,kila unachoandika ni garbage za kuokota tuu,post zako zinatakiwa kule jukwaa la umbeya sio hapa
 
huyo mimi simjibu tena na wewe nakushauri acha maramoja atakutia nuksi. Kwanza kama walivyowatusi wengi humu jamvini, hajui hata anachobishania.
Wee rofa naona una hamu ya kupakuliwa hayo matope,mimi situmii,so tafuta wenzako wakupakue ukimaliza usisahau kuwaambia asante.
 
Nilifikiri una akili kidogo na post zako nilikuwa nazipitia kumbe ovyoooo,umekuwa entertainer tuu wa kina mokalla na Rushasha,kila unachoandika ni garbage za kuokota tuu,post zako zinatakiwa kule jukwaa la umbeya sio hapa

Siwezi kuandika jambo wewe ukafurahia hata kidogo,

Na hakika hutafuhia hata kidogo,
 
Wee rofa naona una hamu ya kupakuliwa hayo matope,mimi situmii,so tafuta wenzako wakupakue ukimaliza usisahau kuwaambia asante.

kumbe ndio kamchezo kako huko USA siyo? mungu anawalaani, mtayasema maovu yenu yote! kama anavyoendelea kuumbuka muuaji mwenzenu kagame.
 
Hawa bado kutandikwa tu.
Mkuu tumeshaanza kuwatandika vibaya mno,

Kuanzia juzi kuamkia jana tumewashushia kipigo ambacho hawajawahi kukiona tangu wajiite M23 kutoka Interahamwe,

Majeshi ya UN (TZ) yakitumia ndege za kivita yameweza kuwadhibiti kabisa M23 kurusha makombora yao, huku chini majeshi ya Serikali ya DRC yameongoza kipigo cha ardhini haijapata kutokea, kwaujumla Mji wa Goma umesafishwa kwa kuwafurumisha kabisa mpaka karibu na vilima vya Virunga!

Kwaujumla mpaka mida hii ya jioni majeshi ya UN (JWTZ) taarifa nilizonazo nikuwa yameshinda!
 
vipi mkuu, kibali kutoka UN cha walinzi wa amani cha kuwasaka m 23 popote walipo kimeshapatikana?
 
Mkuu tumeshaanza kuwatandika vibaya mno,

Kuanzia juzi kuamkia jana tumewashushia kipigo ambacho hawajawahi kukiona tangu wajiite M23 kutoka Interahamwe,

Majeshi ya UN (TZ) yakitumia ndege za kivita yameweza kuwadhibiti kabisa M23 kurusha makombora yao, huku chini majeshi ya Serikali ya DRC yameongoza kipigo cha ardhini haijapata kutokea, kwaujumla Mji wa Goma umesafishwa kwa kuwafurumisha kabisa mpaka karibu na vilima vya Virunga!

Kwaujumla mpaka mida hii ya jioni majeshi ya UN (JWTZ) taarifa nilizonazo nikuwa yameshinda!

Hizi ni habari mbaya sana kwa Koba.
 
Na atapasuka mwaka huu mpaka tuhakikishe wanyarwanda wote tumewafurusha kwenye ardhi ya Kongo
Mkuu YN nasikia Serikali ya Rwanda iliwasilisha barua ya malalamiko UN, inasema ina taarifa za kuaminika kwamba majeshi ya UN,Kongo na FDRL wanapanga kuivamia Rwanda and come April PK hatakiwi hawe madarakani!! Hii ina ukweli gani mkuu? Kwani majeshi ya UN kazi yake ni kuondoa madarakani Serikali iliyo chaguliwa na Raia kidemokrasia au kazi ya UN ni kulinda amani!
 
Hizo ni propaganda za PK tu, dunia nzima inatambua kazi ya UN katika masuala haya,

UN inalinda amani katika ardhi ya Kongo na si vinginevyo!
 
Back
Top Bottom