Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za watu nchini Tanzania Dkt. Mauki ndiyo kusema yeye ni Malaika na hakumbani na kero zitupatazo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,918
109,685
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?

Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.

====

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Pia soma: Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!
 
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao Wabadilike upesi Kitabia na Kero ziishe Majumbani mwetu na Mapenzi yawe mwemwere mwemwere tu.
Anakula chuma kama kawaida sema kwa kuwa maarufu ndio mnaona kwamba yeye kamanda
 
Watu kama wakina Mauki ndio wana matatizo kuliko sisi, Mmesahau ishu ya JJ Mwaka anawahubiria watu na kuwauzia dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati yeye mwenyewe ana hilo tatizo. Na akakimbiwa na Mke? Hawana ishu watu kama Hawa ni blah blah tu na kujitafutia pesa kupitia wanyonge.
 
Back
Top Bottom