Filamu Zilizotabiri ‘Future of Humanity’ kwa Usahihi

Miaka ya nyuma kidogo Mark Zuckerberg wa Facebook aliwahi kutengeneza game lililoshahabiana kbsa na na COVID-19
 
Couldn't agree more, Mkuu.

Kuhusu kushuka kwa IQ na Uwepo wa Maendeleo: Najaribu kufikiri k labda kwa kuwa hii movie ililenga miaka ya 2505, hayo maendeleo ni zao la miaka iliyopita kabla ya mwaka huo waliolenga.
Kwanini nasema hivyo, kushuka kwa akili za watu haiwezi ikatokea overnight (Mara moja paap), ila ni matokeo ya muda mrefu, na pia haiwezi haiwezi kuwa sawa kwa watu wote duniani.

Hili tunawza litazama sasa, pamoja takwimu kuonesha kuwa IQ za watu zinashuka, ila kuna watu mfano wa Elon Musk, Sam Altman n.k ambao wanafanya mapinduzi makubwa ndani na nje ya sayari hii.

Umenikumbusha kuhusu, The Matrix hasa ile ya 1999. Pia, kuna The Truman Show(1998) ambayo imejaribu kueleza concept za matrix kwa mtoto atleast wa miaka 11. Naamini umeiona Mkuu.
Nimekusoma mkuu. Something like pyramid. Wachache hapa juu wanaendesha dunia kwa akili kubwa wakati wengi huku chini wakiishi kutegemea hao hapo juu. Kuhusu hiyo Truman bado sijaicheki ila nitaitafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom