Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 774
- 1,294
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k.
Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech (hotuba, risala), basi kwangu mapenzi kwa hiyo filamu huongezeka zaidi, na imekuwa ngumu kuzifuta mfano wa filamu hizi. Nimekuwa nikirudia sana hizi scene, na kuna wakati na nukuu kabisa.
Katika uzi huu tutaenda kubadilisha speech tulizozipenda katika movie|series. Uzuri wa hizi speech hazihitaji ujue mazingira au story ya filamu kuzielewa na kuzipenda.
Mara nyingi zinagusa au zinaweza kutumika katika maisha yetu ya kila siku, inaweza kuwa ni kama mfano wa kukutia moyo unapopitia wakati mgumu, kukusukuma kutimiza ndoto zako, kujenga utu, kutengeneza dhana fulani, na kuna wakati ni kama wanafanya pep talk kwa sisi watazamaji, au ni kama summary ya kitabu chenye page 300 kwa dakika tatu tu.
Nitanukuu kama zilivyo, na kutaja movie|TV series kama njia ya kutoa credit wa wamiliki wa hizi filamu. Ila kama speech itakuwa haileweki, au kuhitaji maelezo kidogo ili msomaji apate tafsiri kamili, nitatoa maelezo kidogo kuonesha nini sababu ya kutoa hiyo speech au, imetolewa katika mazingira gani.
Nitaomba na wewe ufanye hivyo, wakati unaenda kutoa speech au nukuu yako pendwa’ katika movie, ili sote tupate maana kamili.