Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,757
- 107,107
- Thread starter
- #21
Aisee msiahau huku East Africa upande wa Ethiopia kulikua na kush..Kwa hiyo nchi zingine za Kiafrica tulikua bado tunacheza mdako kwa dhahabu.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Huku ndiko chimbuko letu sisi..Akina Haile wamefanya mengi.
Ila kipindi hiko huko kaskazini ndio kulikua Newyork ya dunia
Ila sisi bana..unachza bao kwa almasi