Dream League Soccer 2020 special thread

Saizi wamerekebisha cha Msingi kaboreshe graphics tu
Ngoja nidownload tena kisha nifuate maelekezo yako maana Dream ilikuwa kama chakula kwangu zamani , nilikuwa nawanyoosha ile mbaya mpaka nikawa najiita mimi ndiyo Master wa hili game sina mpinzani labda kwa wenyewe waliotengeneza .
 
ww DLS uliishia academy ebu ukuje huku ili uone release ya 2022 legendary division ilivyo ngumu hadi ukishinda unashangilia kwa makelele. Toka mwaka huu nianzd nimenyanyua kwapa mara moja na nimecheza play off mara moja kunusulika kushuka daraja. Huko haya ya play off hakuna na ukiona umefungwa goli pess na fifa zenu hizo una restart game fasta ili kupoteza kumbukumbu na ukifungua linaanza nyuma. Mmekimbilia kamseleleko huko ila huku hata uki restore simu yako ukidownload tu tena game hili,ile unafungua tu unakuta watu wanashangilia. Halipotezi data DLS narudia tena DLS huwezi fananisha na upuzi mwingine wowote ule. DLS sio vikatuni bali ni watu kweli ila wameveshwa mask tu
Hata mimi kwenye simu nasema hakuna anaweza mpiku DLS wale jamaa wanajua mpk wanakera unaweza usile na njaa usihisi ,Mimi nilicheza mda kweli ya mwisho 2019 simu yangu ikaiibiwa . Kama sikuhizi kuna maboresho kama hayo basi wametisha sana mimi napenda upinzani kama huo uwepo.
 
VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MCHEZAJI.
1. Acceleration.
Kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kwanza angalia acce yake ili awe na maamuzi ya haraka. Wengi sana wanaangalia speed tu ya mchezaji bila kuona acc yake. Hata ukimchukua mchezaji mwenye speed 100 ila kama acceleration yake ni 27 ni kazi bure kwani atachelewa kuanza kukimbia na ataporwa mpira mda wote.
2. Stamina. Baada ya kuona acceleration basi angalia stamina yake. Hapa panamwezesha mchezaji kukaba kwa nguvu lakini pia hanyang'anywi mpira kirahisi. Viungo na back wawe na stamina kubwa sana isiwe chini ya 75.
3. Speed. Kitu cha tatu ni pendwa kwa wachezaji wengi wa magame yani kukuimbia kwa kasi hasa kwa fowadi na back za pembeni. DLS wanashambulia sana winga hivyo hakikisha back zako namba 2 na 3 wanakuwa na speed kubwa na acceleration kubwa.
NB: usimruhusu adui apige kross ni hatari sana, kabla adui hajapiga kross press A ila uwe kwa pembeni yake na umsogee sana ili apige takoling. Takoling ya mbele ni kwa mbali kiasi ili mpira uwahi kuugusa ili kuepusha umeme.
4. Head.
Kwa beki za kati head nzuri sana kwani mipira ya kona na kross itasaidia sana kuokoa. Uwezo wa kupiga kichwa ni kwa beki na viungo.
5. Shoot na pass.
Kwa fowadi pia lazima uangalie uwezo wao wa kushuti ili hata nje ya 18 uwe unashuti na unafunga. Poor shoot inapelekea kupaisha au shuti kuwa chakula kwa golikipa.
NB. Formation au mfumo mzuri ni 4 4 2 na weka defensive kama unajifunza, moderate kama mchezaji wa kawaida na Attacking kama mzoefu kama mm.
Pia ukifungwa au kufunga unaweza kubadili ili kuendana na mchezo
 
Kuna wazee wa kuhack coins, mimi napenda nipate fedha kihalali mdogo mdogo ili nipate uchungu wa kupambania makombe .
Wanao hack wanapoteza raha ya game kwani wanajidanganya wenyewe na wengi mashabiki wa Man United wanaoongoza kucheza game za kuhaki eti kisa timu yao England nafungwe na hata game wafungwe? Ila tumewaambia wacheze FTS na sio DLS
 
Ngoja nidownload tena kisha nifuate maelekezo yako maana Dream ilikuwa kama chakula kwangu zamani , nilikuwa nawanyoosha ile mbaya mpaka nikawa najiita mimi ndiyo Master wa hili game sina mpinzani labda kwa wenyewe waliotengeneza .
hahahaha sema ni vile hakuna namna ya kucheza online kwa mtu unayemtaka, ila nipo maabara kutafiti ili tuweze kucheza online. Nitaanzisha ligi la 100000 kwa mshindi na 50000 kwa wapili na 20000 kwa watatu
 
Ile FTS yenyewe ndio ilikjwa game haswaa, ina challenge za kutosha unaset ugumu wa game ukiweka hard, kutoboa ngumu kidogo, graphics zake mipangilio mule ndani unacheza mpaka uefa n.k, ila hili DLS halina utamu wowote, unawafunga eazy tu,, halina challenge, ukifika juu unarudi kuanza upya, nilicheza 2000 kumi na ngapi sijui nikaja kulifuta.. Fts nimelisaka saana sijafanikiwa tena.
 
VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MCHEZAJI.
1. Acceleration.
Kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kwanza angalia acce yake ili awe na maamuzi ya haraka. Wengi sana wanaangalia speed tu ya mchezaji bila kuona acc yake. Hata ukimchukua mchezaji mwenye speed 100 ila kama acceleration yake ni 27 ni kazi bure kwani atachelewa kuanza kukimbia na ataporwa mpira mda wote.
2. Stamina. Baada ya kuona acceleration basi angalia stamina yake. Hapa panamwezesha mchezaji kukaba kwa nguvu lakini pia hanyang'anywi mpira kirahisi. Viungo na back wawe na stamina kubwa sana isiwe chini ya 75.
3. Speed. Kitu cha tatu ni pendwa kwa wachezaji wengi wa magame yani kukuimbia kwa kasi hasa kwa fowadi na back za pembeni. DLS wanashambulia sana winga hivyo hakikisha back zako namba 2 na 3 wanakuwa na speed kubwa na acceleration kubwa.
NB: usimruhusu adui apige kross ni hatari sana, kabla adui hajapiga kross press A ila uwe kwa pembeni yake na umsogee sana ili apige takoling. Takoling ya mbele ni kwa mbali kiasi ili mpira uwahi kuugusa ili kuepusha umeme.
4. Head.
Kwa beki za kati head nzuri sana kwani mipira ya kona na kross itasaidia sana kuokoa. Uwezo wa kupiga kichwa ni kwa beki na viungo.
5. Shoot na pass.
Kwa fowadi pia lazima uangalie uwezo wao wa kushuti ili hata nje ya 18 uwe unashuti na unafunga. Poor shoot inapelekea kupaisha au shuti kuwa chakula kwa golikipa.
NB. Formation au mfumo mzuri ni 4 4 2 na weka defensive kama unajifunza, moderate kama mchezaji wa kawaida na Attacking kama mzoefu kama mm.
Pia ukifungwa au kufunga unaweza kubadili ili kuendana na mchezo
Kweli kabisa , uwiano mzuri Kati ya speed na acceleration ni Muhimu mno mm nilikuwa na Gervinho DLS 19 alikuwa na 87 acc speed 85 yeye ndiyo alikuwa tegemezi wangu nilimsajili mpk Messi lkn nikamuona hayupo sharp kama huyo mwamba hatimaye nikamuuza na mwengini ni Stoorey nilitoka nilipewa nilivyoanzisha alikuwa na 67 :65 alikuwa anawanyoosha mpk ligi kubwa .
 
ww DLS uliishia academy ebu ukuje huku ili uone release ya 2022 legendary division ilivyo ngumu hadi ukishinda unashangilia kwa makelele. Toka mwaka huu nianzd nimenyanyua kwapa mara moja na nimecheza play off mara moja kunusulika kushuka daraja. Huko haya ya play off hakuna na ukiona umefungwa goli pess na fifa zenu hizo una restart game fasta ili kupoteza kumbukumbu na ukifungua linaanza nyuma. Mmekimbilia kamseleleko huko ila huku hata uki restore simu yako ukidownload tu tena game hili,ile unafungua tu unakuta watu wanashangilia. Halipotezi data DLS narudia tena DLS huwezi fananisha na upuzi mwingine wowote ule. DLS sio vikatuni bali ni watu kweli ila wameveshwa mask tu
Mkuu hapa nakupinga kweli DLS ni zuri kuliko pes Ila ni jepesi sana mie nashinda game zote nachukua makombe yote mpaka ya international naweza nikacheza na timu kubwa nikazifunga 7,8 bila.

DLS ni jepesi sana Ila wamepatia kwa kua ni zuri tuh Ila halina challenge..!
 
Ile FTS yenyewe ndio ilikjwa game haswaa, ina challenge za kutosha unaset ugumu wa game ukiweka hard, kutoboa ngumu kidogo, graphics zake mipangilio mule ndani unacheza mpaka uefa n.k, ila hili DLS halina utamu wowote, unawafunga eazy tu,, halina challenge, ukifika juu unarudi kuanza upya, nilicheza 2000 kumi na ngapi sijui nikaja kulifuta.. Fts nimelisaka saana sijafanikiwa tena.
FTS zuri kama ulivyosema ila karibia wote sura siyo halisi na Halima updates , mimi nilidownload la 2022 nikakuta Salah bado yupo Roma na Di maria Man U hapo nikaamua nilifutilie mbali

FTS lipo ukigugo wahuni wamasha hack halina umiliki wa mtu mmoja ila lina process kibao kuli install mara udownload Z- achiver pamoja na mafile yake.
 
Kuu FTS hujalipata duh mbona yapo kibao tuh la 2021, 2022 nenda Google tuh yamejaa kibao mkuu...
 
FTS zuri kama ulivyosema ila karibia wote sura siyo halisi na Halima updates , mimi nilidownload la 2022 nikakuta Salah bado yupo Roma na Di maria Man U hapo nikaamua nilifutilie mbali

FTS lipo ukigugo wahuni wamasha hack halina umiliki wa mtu mmoja ila lina process kibao kuli install mara udownload Z- achiver pamoja na mafile yake.
Uzuri was mule unaweza ku~skip mechi na league inakua na mechi 38..
 
FTS zuri kama ulivyosema ila karibia wote sura siyo halisi na Halima updates , mimi nilidownload la 2022 nikakuta Salah bado yupo Roma na Di maria Man U hapo nikaamua nilifutilie mbali

FTS lipo ukigugo wahuni wamasha hack halina umiliki wa mtu mmoja ila lina process kibao kuli install mara udownload Z- achiver pamoja na mafile yake.
Hiyo 2022 wanaandika tu lakini linakuwa ni la kktu kama mwaka 2016 huko, ndio maana unakuta kina salah wapo roma, kifupi wenyewe hawajatoa tena toka mwaka huo.

Binafsi mie mshamba saana napenda game za miaka hiyo, hapa tu natafuta pes ya 2004-2005 au hata na sita, nipate kucheza arsenal ile ya motoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom