Dream League Soccer 2020 special thread

Ndugu huwa nalitumia sana hili game lakini tangu nilivyo update to 2022 halitaki kabisa kuplay na kama nikibahatika kuplay nacheza kwa tabu maana ina stuck sana na muda mwingine kutoweka ghafla.....shida inaweza kuwa nini wataalamu....??

Hili game ndio ugonjwa wangu pindi nipatapo muda wa kutulia.....
Umepata Suluhisho sasa enjoy yourself
 
Ndugu huwa nalitumia sana hili game lakini tangu nilivyo update to 2022 halitaki kabisa kuplay na kama nikibahatika kuplay nacheza kwa tabu maana ina stuck sana na muda mwingine kutoweka ghafla.....shida inaweza kuwa nini wataalamu....??

Hili game ndio ugonjwa wangu pindi nipatapo muda wa kutulia.....
Hata mimi hili la 2022 limeninyima uhondo mpk nikalifuta mdau mwingi lina ganda ganda tofauti na miaka mingine nilivyokuwa natumia mpk alosto imenijaa .
 
PESS 2021 SIO GAME HALISI
1. Timu unayocheza nayo wanaweza wakavaa jezi za kufanana na za timu yako.
2. Hadi leo Mess yupo baka, wachezaji wa zamani wote bado wanacheza mfano mkubwa eti Michael Owen bado wanakipiga Man United View attachment 2099798View attachment 2099802

View attachment 2099792
Alie kwambia kule unakuta team imekamilika ni nani. Kule na kikosi unaunda ww sio ukute owen yupo man U. Hata kwenye campain zile ni team za watu. Mess yupo ionic player akiwa barcelona.
Sasa unataka kausema huo utopolo we ulinganishe ya quality na player behavious za wachezaji wa pes.

Halafu pes update yake sio ya kirahisi ivo kama utopolo huo.

Commentators peterdrury 😅😅😅 upewe nn sasa
 
DLS ya 2018 na 19 walizipatia sana mpk vimo vya wachezaji kwa asilimia kubwa vinaendana na uhalisia hadi mikimbio yao tafauti na za siku hizi unakuta asilimia kubwa matoli na mikimbio sawa.
Saizi wamerekebisha cha Msingi kaboreshe graphics tu
 
Kumbe tupo wengi.....ngoja tungoje wataalamu watusaidie.....
Nenda setting kwenye graphics ka edity. Wengi wenu mnatumia simu mnazoita janja mfano Samsung ila ni za zamani,old version, hivyo mkapunguze quality ikae Low na sio low(quality) na ikae 60frp
 
Alie kwambia kule unakuta team imekamilika ni nani. Kule na kikosi unaunda ww sio ukute owen yupo man U. Hata kwenye campain zile ni team za watu. Mess yupo ionic player akiwa barcelona.
Sasa unataka kausema huo utopolo we ulinganishe ya quality na player behavious za wachezaji wa pes.

Halafu pes update yake sio ya kirahisi ivo kama utopolo huo.

Commentators peterdrury 😅😅😅 upewe nn sasa
Hata kimbia ya PES ni kama roboti fulani hivi ananesanesa na hawachangamki kama dream league. Hili game kama live tu hasa kamera ukiweka 70 80 90 na 100 unaona pande zote. Kikubwa zaidi DLS halisumbui mtandao mda wa kucheza na ndio maana hame ikiingia tu uwanjani unazima data na unacheza hadi mwisho game ikiisha unawasha na unaendelea. Hii inasaidia hata simu kuwa nyepesi wakati wote kwa sababu simu hafanyi kazi nyingine ya internet. Mambo ya connection failed,network error,no connection huku hayapo .kwa hiyo tunaposema dream league ni zaidi ya game tunamaana yetu.
 
Alie kwambia kule unakuta team imekamilika ni nani. Kule na kikosi unaunda ww sio ukute owen yupo man U. Hata kwenye campain zile ni team za watu. Mess yupo ionic player akiwa barcelona.
Sasa unataka kausema huo utopolo we ulinganishe ya quality na player behavious za wachezaji wa pes.

Halafu pes update yake sio ya kirahisi ivo kama utopolo huo.

Commentators peterdrury upewe nn sasa
Baada ya kupata PES niliondoa DLS kwenye sim yangu maana sikuwa napata challange yoyote DLS kushinda mwanzo mwisho.
 
Baada ya kupata PES niliondoa DLS kwenye sim yangu maana sikuwa napata challange yoyote DLS kushinda mwanzo mwisho.
ww DLS uliishia academy ebu ukuje huku ili uone release ya 2022 legendary division ilivyo ngumu hadi ukishinda unashangilia kwa makelele. Toka mwaka huu nianzd nimenyanyua kwapa mara moja na nimecheza play off mara moja kunusulika kushuka daraja. Huko haya ya play off hakuna na ukiona umefungwa goli pess na fifa zenu hizo una restart game fasta ili kupoteza kumbukumbu na ukifungua linaanza nyuma. Mmekimbilia kamseleleko huko ila huku hata uki restore simu yako ukidownload tu tena game hili,ile unafungua tu unakuta watu wanashangilia. Halipotezi data DLS narudia tena DLS huwezi fananisha na upuzi mwingine wowote ule. DLS sio vikatuni bali ni watu kweli ila wameveshwa mask tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom