Huyo jamaa na wenzake akili zao zimefika mwisho hawana jipya. Ingefaa awe tayari ashapumzishwa lakini mtumbuaji haoni.Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali
Ana elimu ya kufunga tie shingoni na kujipambanua tuKwa bahati mbaya Mwigulu hana hiyo elimu.
Haya mambo ya kuongeza TOZO kila wakati hayana tija na ndiyo yametufikisha hapa.Kama ilivyo kwenye REA ni Afadhali tukubali kila lita tuweke 50/=kwa ajili ya kuraise Capital kwa Mabank yetu!
Shida ni maccm yamejimilikisha njia 1.kuu za uchumiHali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya.
Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao katika mfumo wa dola na kuficha pesa zao na sio Benki bali sehemu nyingine kusikojulikana ili kulinda mitaji yao.
Watu wanafanya biashara, kiwango cha faida katika biashara kimepungua kwa kiasi kikubwa hadi kupelekea watu kupoteza muda katika biashara isiyo na tija.
Ukirudi kwenye ubadilishanaji wa Dola ndo usiseme. Ukienda kwenye maduka ya kubadilishanaji fedha za kigeni, kupata dola ni shida, unawekewa kiwango cha kubadilisha fedha. Zaidi ya hapo hupati huduma.
Thamani ya fedha yetu ya kitanzania inashuka kwa kasi kubwa mno. Linganisha pesa ya Tanzania na Uganda, pesa yetu ilikuwa na thamani kubwa sana dhidi ya pesa ya Uganda, angalia kwa sasa katika exchange rate kwa sasa inaifukuza pesa yetu kwa kasi kubwa. Pesa ya Kenya(KSHS) hatuifati hata kidogo.
Tunakwama wapi katika hili? Tujiulize kama watanzania. Je ni uchumi wa dunia ndo umevurugika? Au ni kuyumba kwa uchumi wa nchi? Au washindani wetu wamekuza chumi zetu?
Mungu ibariki Tanzania
Elimu debatable?Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya.
Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao katika mfumo wa dola na kuficha pesa zao na sio Benki bali sehemu nyingine kusikojulikana ili kulinda mitaji yao.
Watu wanafanya biashara, kiwango cha faida katika biashara kimepungua kwa kiasi kikubwa hadi kupelekea watu kupoteza muda katika biashara isiyo na tija.
Ukirudi kwenye ubadilishanaji wa Dola ndo usiseme. Ukienda kwenye maduka ya kubadilishanaji fedha za kigeni, kupata dola ni shida, unawekewa kiwango cha kubadilisha fedha. Zaidi ya hapo hupati huduma.
Thamani ya fedha yetu ya kitanzania inashuka kwa kasi kubwa mno. Linganisha pesa ya Tanzania na Uganda, pesa yetu ilikuwa na thamani kubwa sana dhidi ya pesa ya Uganda, angalia kwa sasa katika exchange rate kwa sasa inaifukuza pesa yetu kwa kasi kubwa. Pesa ya Kenya(KSHS) hatuifati hata kidogo.
Tunakwama wapi katika hili? Tujiulize kama watanzania. Je ni uchumi wa dunia ndo umevurugika? Au ni kuyumba kwa uchumi wa nchi? Au washindani wetu wamekuza chumi zetu?
Mungu ibariki Tanzania
Huo ni wizi ..ww pesa za srikal miradi mingi ya srikali kama sgr .na stiglar na tanesco watu wamechota pesa za maana huko ndo wanabadikisha magari kila aina huo sio uchumi kama tukiindekeza huo ujambaziAnakwambia anapishana na gari zenye E hivyo uchumi uko sawa
Duh,Shida ni maccm yamejimilikisha njia 1.kuu za uchumi
Migodi ni mkapa na jamaa zake
Maliasli ni za kinana
Real estate ni ya familia ya lowasa
Bandari kachukua mama Abdul
Gas ni ya kikewtr
Uwanja wa ndege kia ni wa Anna mkapo
Mafuta ni ya ridhiwani
Usafarishaji ni.....
Mbolea ni ya..
Ranchi ni za magufuli
Sukari kachukua abdul
Kwa Hali hii mwigulu atafanya Nini bila kueliminate kwanza Hawa watu na kuandika katiba mpya
Kuna kajinga kanaona miujizaMagufuli alitumia miaka mitano ku stabilize sarafu yetu iliyooromoshwa awamu ya nne
Lkn miaka miwili tu ya samia ilitosha kuharibu kila kitu