Dkt. Slaa: Freeman Mbowe aachane na Maridhiano maana hayafai, Katiba sio mali yake binafsi au mali ya Rais Samia

Nashukuru umegundua kuw si vizuri kuchomekachomeka kuhusu uenyekiti wake hata ktk mada zisizohusika.

Asante, hivyo shika hilo la kuwa wakati ukuta huku tukiendelea na mada hii ya katiba.
 
..vyama au wanaharakati walioko nje ya maridhiano hawajazuiwa kudai Katiba.

..pia sio sahihi kwa Dr.Slaa na wengine wasio Chadema au Ccm kusubiria maridhiano.

..Vyama tofauti na Chadema na Ccm viende kwa wananchi vikauze sera na mikakati yao ya kujenga Tanzania.
Yan inauzi kweli huyu balozi mst anakuja kufanya usnitch wa kichawi hapa, sijui ndo keshahongwa? Hivi kwa nini asiwanange ccm ambao ndo wanazuia mchakato wa katiba mpya? Kwa nini havisemi vyama vingine na viongozi wao wanafanya nini kuwezesha katiba mpya? Makundi mbalimbali na wananchi wote, akiwemo slaa mwenyewe wanafanya nini? Kwani ni mbowe tu na cdm ndo wanaotaka katiba mpya?
 
Akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii Aprili 20, 2023, Dkt Slaa amesema akipata nafasi ya kukutana na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe atamshauri aachane na maridhiano kwa kuwa hayafai.

“Nikipata nafasi ya kukutana nitamwambia kwamba fuata principle za siasa safi, simamia, kwa sababu kwa sasa unatakiwa kuwapatia watanzania katiba mpya. Maridhiano hayafai” amesema

Amesisitiza, “Maridhiano hayafai kwasababu yanakaa zaidi ya mwaka, hakuna taarifa kwa wananchi. Maridhiano si mali ya Samia na ya Mbowe. Katiba inayodaiwa ni ya watanzania. Katiba si mali ya watu wawili, wala sio ya CCM na CHADEMA, ni ya watanzania. Watanzania lazima wajue wanataka katiba ya aina gani”
Dkt Slaa amesema amemsikia mara kadhaa Rais Samia akisema kuwa wataangalia katiba ya mwaka 1977 kwa kuwa Rasimu ya Warioba imepitwa na wakati, yeye anasema haya ni makosa makubwa sana.

“Someni preamble pale kwenye katiba mwanzoni imeandikwa nini, imeandikwa sisi watanzania tumeamua, kwenye katiba”

Kuhusu kusubiria uteuzi, amesema kwa umri wake hasubirii tena fursa hiyo, pia amemsfia Freeman Mbowe kuwa mwanasiasa mzuri, mkonge na mpambanaji wa siku nyingi.

Chanzo: East Africa Radio
Mzee njaa imempiga, anatafuta comeback ya kisiasa huko Karatu
 
Najiuliza Kwa sauti je chadema uchaguzi ukishika dola kabla katiba haijabadilushwa watataka ibadilishwe?
Siyo tu tutataka ibadilishwe bali tutaibadilisha, tatizo lako, na la sisi watanzania kwa ujumla, ni kufiikiri kuwa hata jambo ambalo ni haki yetu kabisa wananchi hatustahili bali ni mpaka tupewe na ccm!!!!
 
Akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii Aprili 20, 2023, Dkt Slaa amesema akipata nafasi ya kukutana na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe atamshauri aachane na maridhiano kwa kuwa hayafai.

“Nikipata nafasi ya kukutana nitamwambia kwamba fuata principle za siasa safi, simamia, kwa sababu kwa sasa unatakiwa kuwapatia watanzania katiba mpya. Maridhiano hayafai” amesema

Amesisitiza, “Maridhiano hayafai kwasababu yanakaa zaidi ya mwaka, hakuna taarifa kwa wananchi. Maridhiano si mali ya Samia na ya Mbowe. Katiba inayodaiwa ni ya watanzania. Katiba si mali ya watu wawili, wala sio ya CCM na CHADEMA, ni ya watanzania. Watanzania lazima wajue wanataka katiba ya aina gani”
Dkt Slaa amesema amemsikia mara kadhaa Rais Samia akisema kuwa wataangalia katiba ya mwaka 1977 kwa kuwa Rasimu ya Warioba imepitwa na wakati, yeye anasema haya ni makosa makubwa sana.

“Someni preamble pale kwenye katiba mwanzoni imeandikwa nini, imeandikwa sisi watanzania tumeamua, kwenye katiba”

Kuhusu kusubiria uteuzi, amesema kwa umri wake hasubirii tena fursa hiyo, pia amemsfia Freeman Mbowe kuwa mwanasiasa mzuri, mkonge na mpambanaji wa siku nyingi.

Chanzo: East Africa Radio
Mbowe na MH Samia hawna Akili kama zako Mzee slaa. We Tulia Tu mbona nchi inakwenda fresh Tu.
 
Na Mimi naongezea kwamba, chama chochote Cha siasa kiachane na harakati za kutafuta katiba ya wananchi, kwani katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wowote wa kisiasa, ili iweze kusimamia vyama vyote, vya kisiasa. Labda chadema itapendeza wakisimama kutafuta katiba ya chama Chao sio katiba ya wananchi.
Mkuu kwa nchi hii utawapata wapi?
 
Maridhiano yana maana sana, muhimu muda uwepo wa kuridhiana kufanya yale ya msingi waliyokubaliana kwa maslahi ya taifa na kwa wakati, mfano Katiba Mpya, kwasababu kule tulipotoka taifa lilihitaji maridhiano, watu walikufa, walitekwa, we needed to sit down and talk as a nation.

Tatizo ninaloliona kwenye haya maridhiano yetu, ni kwasababu mmoja anaonekana kama boss, huku mwingine akigeuzwa kuwa servant, hapo ndipo chanzo cha matatizo yetu kinapoanzia.

Boss anaweza kujichelewesha kufanya yaliyo na umuhimu kama Katiba Mpya kwa makusudi, ili kulinda maslahi yake, bahati mbaya yule servant wakati akiendelea kumsubiri boss afanye walivyokubaliana, nae anaonekana mlamba asali kwa sababu ya ukimya.

Samia alishatuambia ataanzisha mchakato wa Katiba Mpya, lakini iweje mpaka leo baada ya miezi kadhaa kupita bado yupo kimya?! Hapa ndipo uzito wa kauli ya Dr. Slaa unapopata nafasi.
CCM hawataki Maridhiano na Samia mwenyewe na TISS yake,wanachofanya ni kutafuta njia ya kuinyamazisha CHADEMA kwa mgongo wa Maridhiano.
Hapo Mbowe tayari kanasa,kinachoendelea sasa hivi ni kupoteza muda na Mbowe akiuliza wanawambia serikali bado inazifanyia kazi hoja zenu,basi!Kama Kuna nia kweli basi wangekuwa wameshamaliza siku nyingi na kutoa taarifa kwa Wananchi.
Ni sawa pia na wakati wa JK, CHADEMA wameitwa sana kwenye mazungumzo Ikulu lakini nini kipya kilitokea?
 
Akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii Aprili 20, 2023, Dkt Slaa amesema akipata nafasi ya kukutana na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe atamshauri aachane na maridhiano kwa kuwa hayafai.

“Nikipata nafasi ya kukutana nitamwambia kwamba fuata principle za siasa safi, simamia, kwa sababu kwa sasa unatakiwa kuwapatia watanzania katiba mpya. Maridhiano hayafai” amesema

Amesisitiza, “Maridhiano hayafai kwasababu yanakaa zaidi ya mwaka, hakuna taarifa kwa wananchi. Maridhiano si mali ya Samia na ya Mbowe. Katiba inayodaiwa ni ya watanzania. Katiba si mali ya watu wawili, wala sio ya CCM na CHADEMA, ni ya watanzania. Watanzania lazima wajue wanataka katiba ya aina gani”
Dkt Slaa amesema amemsikia mara kadhaa Rais Samia akisema kuwa wataangalia katiba ya mwaka 1977 kwa kuwa Rasimu ya Warioba imepitwa na wakati, yeye anasema haya ni makosa makubwa sana.

“Someni preamble pale kwenye katiba mwanzoni imeandikwa nini, imeandikwa sisi watanzania tumeamua, kwenye katiba”

Kuhusu kusubiria uteuzi, amesema kwa umri wake hasubirii tena fursa hiyo, pia amemsfia Freeman Mbowe kuwa mwanasiasa mzuri, mkonge na mpambanaji wa siku nyingi.

Chanzo: East Africa Radio
Slaa anaongea kama nani? Anatafuta huruma ya Chadema au? Awatumikie wanaomlisha
 
Dr Slaa mtu wa wivu sana.
Wakati Mbowe yuko jela yeye alikuwa anakula sali ulaya kama balozi
Sasa anataka asali asile mweziwe, wivu mtupu.
 
Wewe umekatazwa kuanzisha Chama chako ukafanya unachotaka? Au unahangaisha wenzako wenye malengo tofauti
Swali lako halifanani na jibu langu,kwa ujumla umedandia Marcpollo kwa mbele wakati haina pa kushika!
 
Na Mimi naongezea kwamba, chama chochote Cha siasa kiachane na harakati za kutafuta katiba ya wananchi, kwani katiba ya wananchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wowote wa kisiasa, ili iweze kusimamia vyama vyote, vya kisiasa. Labda chadema itapendeza wakisimama kutafuta katiba ya chama Chao sio katiba ya wananchi.
Swadakta naunga mkono
 
Katiba ya chadema itatafutwa na wanachadema, ila katiba ya wannchi itatafutwa na wananchi wasio na mlengo wa chama chochote.
Wananchi kut
Zaidi ya robo tatu ya watanzania ni wanasiasa, hakuna anaye kataaa. Shida Iko hivi chama kisiwe ndichokitafute katiba ya wananchi hatakama kinamaprofesa wa katiba. Anayetaka katiba asitumie mgongo wa chama chake Cha kisiasa. Kama anataka katiba aachane kutumia chama chake Cha kisiasa aonekane kama mwananchi wakawaidaa hata kama anachama chake pendwaa. Mfano CCM waseme wanataka katiba mpya ya wananchi, kitakachojengeka Kwa watu wataaanzakisema labda CCM wanamasilahi Yao ya kichama, vivyo hivyo na chadema au achama chochote Cha kisiasa, hivyo, ili tupate katiba nzuriii wananchi pamoja na vyama vyao, wasimame neutral pasipo na mlengo wa kisiasa ya chama flaniii. Kwani katiba ni Sheria mama itakayooongoza vyama vyote na wananchi wenye vyama na wasio na vyamaaa. Ndio maana ata akina walioba hawakusimama na kusema sisi wanachama chetu ndio tunaotafuta katiba, lakini pamoja na uanachama wao wa vyama vyao waliweka pembeni wakisimama neutral kuleta rasimu ya katiba ya wananchi.
Mpaka sasa Katiba yetu hii ya Jamhuri ya Muungano ni Katiba ya chama kimoja cha siasa(CCM) baada ya chama kushika hatamu ndipo ilipoanzishwa na misingi yake ni ya kulinda chama cha mapinduzi na viongozi wake.Ambapo Magufuri aliyumbisha nchi kwa kutumia hatamu hiyo kumweka kiongozi aliyeona anafaa yeye na si wananchi wa Tanzania kuchagua kiongozi wanayemtaka.Ambapo mwaka 2019 aliweka viongozi wa Serikali za mitaa nchi nzima wa chama chake ili aibe uchaguzi mwaka unaofuata.Pia 2020 aliweka wabunge aliowataka yeye na matokeo yake tumeyaona sasa imekuwa serikali ya kusingiziana.
Vyama vya upinzani vinapodai Katiba mpya viko sahihi kutokana na tukio la nchi kuwa ya Mfumo wa Vyama vingi.Kwa hiyo hakuna sababu ya kubishana kama tunaamini katika mfumo wa vyama vingi vya siasa,maoni yao yaheshimiwe na yatekelezwe maana hiyo ndiyo demokrasia.
 
Yupi yule barbaig aliyemsifia muuaji yule na kumtetea ili aendelee kuula ubalozi. Kwamba TAL alishambuliwa na CDM.
Slaa hana moral authority ya kupambania demokrasia! Huyu padre bado laana ya kanisa inamtafuta! CDM msije mkalogwa mkamwamini huyu mult-standards hypocrite. Hivi Canada alimpeleka nani? Na yule Delila yupo au waswedish wameshasepa nae!
Good points
 
Mbona rasimu ya Katiba ya Warioba ilitokana na maoni ya kada karibu zote za wananchi lakini hamuitaki?!!!

Tatizo ni chama tawala. Kimeteka Katiba ya wananchi na kuifanya mali yake kwa maslahi yake binafsi!!!
Sasa kama Tatizo ni chama tawalaa, ndio maaana tunakemea Sanaa Kwa nguvu zote chama chochote Cha kisiasa kisiiingilie zoezi hiliiii laupatikanaji wa katiba ya wananchi, vyama vya siasa vipiganie katiba za vyama vyaooo, sio katiba ya wananchi, vyama vya siasa vinaweza viaaalikwa kwenye mchakato, lakini siokuendesha mchakatooo, na hiii nikukataa umasilahivyama usiiingilie na kunajisi katiba ya wananchiii
 
Back
Top Bottom