kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,584
- 1,442
Hahahahaa! Bora wewe unafika ige, mimi nyuzi zako sijui mwanamke anataka Laki, nikiona muandishi ni wewe BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSS! Najua itakuwa upotevu tu wa bundle kufungua, bora nikamchambe Linda na bundle langu. LOL! Ila nashukuru mwenzangu unasoma na ku comment! I am IMPRESSED! Ukanzisha tea uzi nitajifosi kufungua maybe kama simu haitojizima! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
bWANA WE TOA UTOKO HAPA NENDA KWENYE NYUZI ZAKO ZILIZODODA WASOMAJI WAWILI MCHANGIAJI MMOJA! Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda, nguvu hii ungekuwa unaiweka kwenye nyuzi zako ungepata hata tu like tumoja twa shida shida! HAHAHAAAAAAAAAAAAA! Hukualikwa wala hujashikiwa fimbo ukae.
Povu lote hilo kuulizwa mtunzi wa hadithi hizi ni nani! Si muda mrefu mtunzi wa hadithi hizi atakufuma tu! Maana unaiba kazi zake sawa na wanaokopi cd!