Data Za Mchepuko Wako Ninazo. Jishtaki Yote Nakusamehe, Bisha nithibitishe Na Kuvunja Ndoa

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,129
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwenzatu mwanadada yamemkutaaa. Mama wa watoto 2 wa utotoni, 27 years 2 kids. Mumewe alikuwa nje kwa masomo miaka 3, scholarship yenyewe ilikuwa ya njaa, njaa basi ndo kujibanaaaa, na kjibanuaa mpaka likizo hakuja ana save tu. Miaka 2 anapiga kitabu tu huko nchi za usoviet.

Bi dada kubakia huku, not getting any for 2 yrs aint a joke, lahaula kikajitokeza kingasti. Kingasti chenyewe ni X boyfriend ambae hana mke. Afu kiukweli bi dada aliolewa njaa tu. Kamaliza chuo kaona kurudi kijijini kwao nomaa, kuliko akae anamuoshea vyombo maza ake mdogo bora aolewe. Mume mtu mzimaa, mie nampaga shikamooo japo anaizugiaga zugiaga. Njaa mbaya sanaaa. Si unajua mwenye njaa hajivungi? Kaolewa. Kisa cha kuzaa kwa pupa ni mapenzi hakunaa, bora awe na watoto awapende watoto wamtie nguvu za kuvumilia.

Yule mtu mzima kwenda u soviet huko bi dada si ndo kupasha kiporo na kingasti chake cha zamani, dume la mbegu, kazi anaiwezaaa, mashetani yake anayajulia yanahitaji nini wakati gani na ayapinge vipi. Looooooooh! Kumbe it has been so long, she didnt realise what she was missing. Muonja asali haonji mara moja mwenzanguuu kanogwaaa kanogewaaa ile ile. Na hivi kingasti it wasnt about the money, ana kazi yake nae ya kuganga njaa tu, bi dada nae anashika chaki tu na mtu mzima ni afsisa elimu. It was about sex i guess.

Wakaona guest zinawatia shoti 40k kila mechi si ndogo, ndo bi dada kuanza kuonekana geto kwa kingasti, mda mwingine analala huko huko, mara amlete kingati ndani, maadam mashetani yake yanapugwaa baridaaa. Alichokosea kutokumfukuza yule msichana wa kazi ndugu wa mumewe. Maana mtu mzima akipiga simu kuongea na watoto bi dada anamwaga ubuyu, mama kabadilika sijui nini umbea tu mtoto wa kike kidomo juu juu kma breki ya ndege. Ndo kumtumia watu wamchunguze.

Bwana karudi January, bi dada hajui kama zege ukishalikoroga halirudi kuwa cement kawahi airport na miua yake. (Who does that these days like 1960s). Wamefika nyumbani watu wote wameletewa zawadi hadi mie kipembaaa, bi dada hata leso hajaletewa. Watu tumekula tumeondoka ndo vita kuanza. Anitumia sms natetemekea mwenzio sijui kajuaaa. Nikamwambia acha ubw.ege wewe usijibu chochote akikubana sanaaa kimbiaaa. Kwanza atamdanga nani huko nje wazungu wanavotembeza papuchi amekaa 2 yrs without getting any? Thubutuuuuu. Alikuwa anabanjuka kama kawaida. La muhimu we kimbia vikao vikianza tutachimba chimba wabongo walioenda ile scholarship ushahidi nae alichepuka haukosekani. Basi ndo kupata ujasiri wa Simba dume. (Sijui inakuwaje hata kama umekosa ukigundua mwenzio kakosa pia huzingatii uzito wa makosa yako unaona ngoma droo)

Weeeeeeee! Mwanaume kaja na PLEAD GUILTY, ujielezee makosa yako yooote, mwanzo hadi mwisho , ulilala nae wapi, lini saa ngapi usiache hata nukta, manake yeye mtu mzima ana mkanda mzima, atalinganisha akigundua hajamficha kitu,na kwa kusema ukweli inaonesha kajuta na kujua kosa lake, watayamaliza kiutu uzima kwani kuchapiwa ni siri ya ndani, na yeye amekula chumvi, anataka wayamalize ila itategemea nia yake yeye bi mkuludawa kuisolve hio equation kama atatoa ushirikiano unaotakiwa au la. Na kama anajiamini abishe kwamba sio kweli, yeye mtu mzima ataita vikao na kutoa ushahidi woooooooooote, na kisha taandika talaka 3 hapo hapo maanake hata akitaka kumrudia haiwezekani tena mpaka aolewe na mtu mwingine leo? Kikubwa atacho mpa talaka sio kucheat bali ni kuonesha Kibri cha hali ya juu. Kwanza kamcheat, pili kukana kosa manake ulizamiria kukosa na ukajipanga kuikwepa adhabu ya kosa, tatu hawezi kuanika mambo yake ya ndani ya kuliwa mkewe kwa wanafamilia woote afu aendelee kuishi nae, manake kila mtu atamuona lafa, na kumnanga behind his back, litizame kwanza zee zima mkewe analiwa na vitoto vidogo. Hawezi kuishi hivo hata siku moja, bora ijulikane mkewe alimcheat kampiga talka 3 on the spot, pambaffffff!

Bibie jakamoyo likamshika kwanza hajui yule bwana anajua nini, kambiwa na nani, huenda he is just bluffing or he realy knows everything. Akachukucha akachagua Kujinyonga mwenyeweeeeeee, kajihukumu mwenyewe na kujimaliza mwenyeweeeeeeee. Mayo weeeeeee! Ndo kuomba msamaha na ku spill the beans A to Z. Chinekeeeeeeeeeeee! Mimi bwana i would have trusted my fate to fight for me. Ninge kufa kibingwaaa. Bora aniache kwa nguvu zake sio nijihukumu mwenyewe.Mwenzie anamsikiliza tu kama redio hatii neno. Basi ndo kujimalizaaaaaaaa, kajichimbia kaburi na kujizikaa kabisaaa. Akakaa anamngoja Israel mtoa roho za watu atoe tamko.

I dont know what is wrong with people, one minute they want to know the whole truth, the next minute they widh they didnt know the whole truth. Akamwambi yaani toka niipate hii habari nilijiambia mke wangu huweziii, hapa nailivokuwa nakutega nilitegemea utabishaaa katu katu nijue ni uchonganishi tu wa watu, lakini kwa haya ulio niambia najuuuuta kuku uliza. Siwezi kujifanya siyajui na siamini kama kweli umekuwa mrahisi kiasi hiko. Naomba uende nyumbani nitakwambia urudi maana naweza kukuchinja bureeee, huu mtihani na sie binadamu subira yetu ndogo. Nenda kwa mamdogo mwambie yaliotokea nikiwa tayari nitaweka kikao. Makubwaaaaaaaa! Toka mwezi wa kwanza yupo kwao, watoto kawaacha. Kingasti tena utamu umeingia shubiri haoni hata kama mtamu. One minute you rist everything to get kingasti the second you risk everything to get your husband back!

Mi nikamwambia shoga ukitaka usamehewe japo maisha matamu pull a suicide stunt unywe walau vipiriton vichache uache wosia mrefuu wa kuvunja moyo kumuomba mumeo akusamehe kwa yotee, ulitelezaa tu utaendelea kumpenda hadi maisha yajayo, blah blah blah the usua poetic staff, afu mama mdogo unakuwa umemshirikisha wanakulaza Amana kidogo. It might not get you him back lakini hearing za ukoo zitawahi maana ushakuwa suicidal tenaa ila huu ukimyaa huu Utasikia kaoa tu. Its scary but it works kuna mtu aliipata ndoa yake tena maana eti alienda kujinyonga akawa anapiga kelele juu ya stuli! Come on! Eti wakamuoka! Men are weak, his husband bought it just like that (itakuwa walimpulizia kidogo na kumfunika kwenye chungu sio kirahisi rahisi), wamerudiana naanachepuka kama kawaida. Ila bi dada yuko kwao bwana anangoja kujua itakuwaje. The problem with women today they want to stay married and still fu.ck every body else at the same time. We live in crazy times.
 
Da kastori kazurii sana, huyo jamaa kaja na mbinu nzuri kali, pole yake kwa jinsi swali alivyoulizwa ilikaa vibaya sana, yani ni kama vile jamaa alikua na picha kabisa za ushahidi. ila angekataaa kwanza atesti.
 
imekaa ki senema senema!!& boring ......ngoja waje!

Lini uliniajiri NIKUBURUDISHEEEE? Kwa mshahar gani? M nasimulia matukio kama yalivo tokea REGDLESS yatamvutia mtu au hayamvutii. I tell it how it is. Kaziya kukuburudisha namuchia mkeo, mi sitoiweza. Ukisoma nyuzi zangu kuwa tayari tu kama TAARIFA YA HABARI , kwa TUKIO la siku hio. Hutaki, USISOME!:lol::lol::lol::lol: We wont miss you anyway!
 
Da kastori kazurii sana, huyo jamaa kaja na mbinu nzuri kali, pole yake kwa jinsi swali alivyoulizwa ilikaa vibaya sana, yani ni kama vile jamaa alikua na picha kabisa za ushahidi. ila angekataaa kwanza atesti.

Hahahaaaa! Na yeye aliogopa haya mambo ya michina ya camera na blue tooth ukute mtu alimfua akitoka guest, akamtumia picha, sasa ile ofa ya msamaha ndo ilimvurugaaa.
 
Hahahaaaa! Na yeye aliogopa haya mambo ya michina ya camera na blue tooth ukute mtu alimfua akitoka guest, akamtumia picha, sasa ile ofa ya msamaha ndo ilimvurugaaa.

Watu wanashtakiwa na evidence za kutosha mahakamani lakini still wanakataa.
Nilifundishwa hutakiwi kukiri kosa la usaliti kwa mpenzi wako mpaka unaingia kaburini
 
Steps entertainment

Steps entertaiment muvi ukiangalia dakika 2 za mwanzo unajua mwisho itaishaje exactly! Cut me some slack! The thing with real life story inakuwa na variations nyingi, you never get the ending that you want. Kama hii ningekuwa nimetunga naimalizia WAKASEMEHEANA NA KURUDIANA NA MUMEWE! Hahahaaa, to give it a happy ending au MUMEWE AKAMPA ADHABU YA BIBI AKUBALI ALALE NA WANAWAKE WATATU ILI WAWE EVEN! To give it a dramatic ending! Hadhira mbakie HOLLY COW!!!!!!! Hahhaaaa! Lakini REAL LIFE STORY THE END IS ALWAYS BORING!!!!!!!!

CC William Mtitu
 
Last edited by a moderator:
Watu wanashtakiwa na evidence za kutosha mahakamani lakini still wanakataa.
Angekomaa na kukataa

Ile hoja ya kama umechapwa kubali tu kwa sie wawili tuimalize hii issue kimya kimyaaa. Niita matarumbeta na kudhibitisha umati ujue sirudi nyuma ukizingatia nimeshakupa chansi la ku come clean!:lol:. Lazima udende ukutoke.
 
wish to live in your world.... mbona hizi story mtaan kwetu hatuna!!!!!

We si naishi uzungu, 27 watoto wa 2, sio mambo ya kawaida.Kwenu huko mtuakienda ulaya kila siku anarudi likizo, huku mpaka siku ya graduation. BE CAREFUL WHAT YOU WISH FOR!:tape2:
 
hiyo ya kupanda juu ya stuli huku unapiga kelele kweli kiboko.,kujiua mchezo..,
 
Ulisema mtachimba chimba aliyokuwa anayafanya uko usoviet mmepata data gani mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom