Dar es Salaam: Uzuri uliojificha vol.2

Bahati nzuri au Mbaya nchi yetu haina sera ya kuuza visiwa ila inakodisha...
Ila kwa visiwa vyote 8 vya mkoa wa Dar,hayo ni maeneo tengevu ya hifadhi ya bahari.Hairuhusiwi kuweka makazi na hata watu kulala.
Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.
 
In term of population, Dar ndiyo kubwa ila interm of uchumi/biashara...Nairobi ndiyo miji kubwa....
 
Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.
Kwa Wilaya ya Kigamboni Kisiwa kimoja tu wameruhusu watu kutembelea,kingine kinatumika na mamlaka ya bandari ...viwili ni visiwa vya masaa,maji yakijaa havionekani....

Visiwa vya Kinondoni vyote mtu anaweza fika,japo cha Pangavini nacho ni cha masaa
 
Asante saaana kwa ufafanuzi mzuri. Kisiwa ni kizuri saana. Serikali inabidi ibadili sera ziwe za kimkakati. Dar es Salaam ni jiji, hivyo visiwa vyote 8 watupe wawekezaji tufanye bihashara. Maswala ya uhifadhi sijui na mambo mengine yafanyike huko Lindi Mtwara Mafai basi.
Ila hata nasi tumekuwa wazito...
Watu wameanza kuona umuhimu wa kuchangamkia fursa za bahari na Fukwe miaka ya karibuni....Now ndiyo migahawa kibao inajengwa Fukwe za Msasani na Kawe...
Na bado kuna fursa nyingi tu.
 
Mi nimeona fursa ya kuuza madafu mnaanza kunichafua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom