Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha, uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika

Hiyo ni Social engineering, hayo mambo hayatokeitokei tu brother. Fungua macho angalia mbele..
Andika zaidi mkuu....nani anayefanya hio social engineering? Ni serikali? Wafanyabiashara? Watu binafsi? Wazungu? Ni Aliens? Au nani?
Na wanaifanyaje?
 
TCRA NA BASATA wapo kwa ajili ya mambo ya kijinga ila za ukweli unaweza kuwekewa vikwazo maana uwezi kueleza shule imekosa madawati.
unataka uzimwe
 
Hapa mbele yangu naangalia mpira wa Simba na Azam (kirumba) baadae nitaangalia yanga na coastal (chamazi) usiku kabisa ni Simba na Azam (amani) mi binafsi ni mpira mpira na Mimi nje ya hapo ni game of throne basi
 
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.

Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.

Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.

Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.

Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.

Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.

Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.

Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.

Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.

Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Kwan ni lazima kusikiliza hizo redio?
 
We

Unamiliki redio gani nikuletee proposal ya vipindi elimishi next month?. Ungekuwa mfanyakaz biashara wa hii sekta hata wewe ungekuwa mmoja wao
 
Sasa unadhani hiki kizazi kinataka nini shehe?

Enzi za mazungumzo baada ya habari zimeshapitwa na wakati.
 
We

Unamiliki redio gani nikuletee proposal ya vipindi elimishi next month?. Ungekuwa mfanyakaz biashara wa hii sekta hata wewe ungekuwa mmoja wao
Mkuu narudia tena hio ni kazi ya TBC na Redio Tanzania (watu binafsi na vipindi vyao wana mandate zao) kwa kufanya hivyo ukianza kupangiwa na kukatazwa habari za kuweka au kuweka habari za propanganda utarudi hapa useme hakuna demokrasia ?

In short hapa unaangalia mambo kwa mafungu sasa hivi uwanja ni mkubwa na medium ni kubwa hata wewe unaweza kuanzisha podcast yako ya kufundisha watu 24/7 kama una wateja wateja hao wanaweza wakakufikia bila shida.....

Sasa kulazimisha watu waangalie podcast yako hio ndio itakuwa indoctrination na Big Brother Society
 
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.

Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.

Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.

Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.

Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.

Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.

Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.

Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.

Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.

Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Naunga mkono. Ila hawa ni wafanyabiashara wanafuata wateja wao. Wateja wao wengi hawataki serious issues, wanataka mapambio, uchambuzi wa mipira, mipasho, utani, tamthiliya n.k/.Nafikiri ushauri ni kuongeza critical thinking ya Watanzania na seriousness kwenye mabo muhimu. Hiyo imawezekana pale tu elimu yetu na social priorities zitajikita huko.
 
Haya ngoja tuone kama serikali itawa regulate kwa kiwango hicho unacho elezea hapa. Kinacho onekana kwa sasa ni biashara huru na makampuni kuzingatia zaidi maokoto bila kujali walaji tunalishwa nini

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Unajua spinning ili ifanyike hutokana na kinachoendelea katika akili za watu na mawazo yao.

Kinachotangazwa nakuoneshwa ni kile kinachofiti katika brain za watu

Tatizo sio radio Ila tatizo ni watu wanaosikiliza radio.
 
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.

Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa mpira.

Asubuhi radio zote wanasoma magazeti na kuchambua habari. Hapa watangazaji wanatoa maoni binafsi bila kuwa na utaalam wowote wa maswala wanayoyazungumzia. Uwezekano wa kupotosha watu ni mkubwa sana. Haiwezekani mtu ukawa na ufahamu wa kila kitu, ndio maana media za nje huwa wanaalika wataalam kuzungumzia jambo kulingana na taaluma zao.

Baada ya vipindi vya magazeti, radio zote wataanza kuchambua mpira, mechi zote za ligi ya ndani na nje zitachambuliwa hapo ni masaa mawili.

Itafuatia muziki na porojo nyingine mpaka usiku tena, ambapo watarudia tena uchambuzi wa mpira na muziki.

Katika wiki zote hizo mbili na kusikiliza Radio mbali mbali ni siku moja tu nilibahatika kusikia content ya maana, hii ilikua Radio uhuru na walikua wanazungumza na mkurugenzi wa kampuni inayotoa huduma ya kuwapatia watu wafanyakazi wa ndani. Kile kipindi kilikua kizuri sana, na kilitoa mafunzo mengi mno.

Kwakweli naona kuna haja ya serikali kupitia wizara na taasisi zake kuweka miongozo ya content za media zetu otherwise tutakuwa na jamii yenye watu wa hovyo tu.

Haiwezekani siku nzima ni mijadala isiyokuwa na tija inaendelea kwenye media zetu.

Yaani ni mpira tuu siku nzima. Hii haikubaliki.

Unless tunataka tuwe na jamii ya kubet na mpira basi tuendelee namna hii ila kama tunataka kujenga Taifa lenye watu wanaojielewa na wanafanya mambo ya maana na sio wasindikizaji tu , tunapaswa kubadilika.
Under capitalism, those who owns media decides the content.
To be safe establish yours or ignore.
 
Radio na vituo vya TV ni kama wamekuwa mawakala wa betting games na vijana wamegeuza hiyo ni ajira
 
Mkuu tulipofikia watu wanaishi Kwa kutegemeana .. ujinga wako Ndio fursa yangu! Hapa Ndio tulipofikia kama Taifa ! Media nazo zimeingia kwenye Mkumbo huu Hatari Kwa Ustawi wa Taifa!
Mimi nimetoka likizo majuzi .. nilikuwa nafuatilia vipindi vya Radio, yaani ni Hatari... Wanajadili Soka , kuanzia saa 2 hadi saa 5! Katikati ya mijadala Kuna matangazo ya Kubeti! Kuna radio moja baadaya mechi ya Simba na Yañga , waliojadili ubovu wa Simba Kwa masaa 2! Kuna Radio Wana Wataalam wa Pori wa Saikolojia, Sosholojia, Anthropoji nk ... Ukisikiliza hadi unaona aibu!
Ila yote haya ni furaha nakicheko Kwa Watawala ... ni Rahisi sana kumtaeala Mjinga!
 
Back
Top Bottom