The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,305
Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa
Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa.
1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete
2. Hawako serious Katika kuchambua mambo Kwa umakini..critical reasoning.
3. Ukitenga muda wako kuwasikiliza utaambulia makelele tu Hakuna la maana.
4. Wana uchambuzi wa magazeti na habari Wa hovyo sijawahi ona.
Waachambua magezti matatu shallow Kwa Habari moja moja Baasi Wakati tuna magazeti lukuki. na wanachambua mpira vizuri kuliko magazeti.
5 Kila mtu Anajidai ni comedian, guys simuende Cheka tu Kwa koy mzungu mkafanye stand up comedy. Tunahitaji kufurahi lakini siyo mnavyofanya.
Tunahitaji critical and intelligent radio presenters and journalists not hawa wa kuokota okota akina masanja kufanya hivyo mnakosesha wananchi haki yao kujua vitu Kwa undani.
Mass communication main purpose ni kutoa taarifa na kuelimisha jamii, na elimu itolewa haswa na wenye taaluma husika ya Habari
Tafuteni watu wenye taaluma Zao kuheshimisha Hii Tasnia, vituo vingine kiasi Fulani wanajitahidi critical reasoning japo Kwa asilimia kubwa bado wanajikongoja.