Lakini umeshindwa hata kuchukua Screenshot ya hiyo post yake ndugu au unataka utupe dhambi ya umbea, uongo na kujitia kuhukumu wengine bure?
 
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"

==============

Hii ni Updated ya kwanza kutoka kwa Mchungaji wa kilokole, bado wachungaji wengine kutoka SDA, RC, KKKT, Anglikana nk mtoe meseji.

Pia soma:
Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo
 
Kauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.

Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.
 
Hii ni kauli ya dada mwimbaji wa siku nyingi aitwae Christina Shusho, "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia.

"Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake.

Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"
Amesema uongo?
 
Back
Top Bottom