Kivipi mkuu? Hebu eleza kwa upana.
Tuanzie kwenye uumbaji;
Mwanamke aliumbwa kwa kutolewa sehemu ya ubavu wa mwanaume [Adam na Hawa],ndoa ya kwanza ilianzishwa hapo, Mungu akaagiza [mwanzo 2;24],.... naye ataambatana na mwenzake,....nao watakuwa mwili mmoja...agizo likakaziwa zaidi [marko 10;9],....alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe.
Ni andiko lipi limemuongoza kuivunja ndoa yake kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu?Ni Mungu yupi anayemtumikia,aliyeumba ndoa au anayevunja ndoa?Aliivunja ndoa yake ili akafungue kanisa lake,...-linalo/litakalo mtumikia Mungu yupi?
Ni wakati gani (tangu kuumbwa kwa ulimwengu) Mungu aliwahi kumweka mwanamke kuwa kiongozi wa kanisa/hekalu/sinagogi,kuwa mchungaji/kuhani?Atupe andiko lililo muongoza, kwasababu,hata Yesu Kristo alipokuwa duniani hakuwahi kubatilisha/kubadilisha mpango,sheria na kanuni za Mungu,na kwakulithibitisha hilo,kati ya mitume 12 aliowapa kazi ya kuzunguka ulimwenguni kuihubiri injili,hakuwepo mwanamke.Kiongozi wa kanisa ni mwakilishi wa YESU KRISTO aliye kichwa cha kanisa,.. mwanamke anatoa wapi jeuri ya kusimama madhabauni akiwa ni mchungaji/kuhani?Huku ni kumpinga MUNGU wazi wazi na kumtukuza Shetani/Ibilisi mwenye ajenda ya 50/50[serikalini hadi makanisani],haki za wanawake n.k., na kwakuwa siku hizi makanisa yamegeuka kuwa biashara nzuri,watu hawamhofii MUNGU,bali wanakazana kujikweza wao.
Kwa hiyo,yeyote anayekubaliana na mawazo na maamuzi ya huyu dada,asome maandiko vizuri kisha ajitafakari.
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Uzi ufungwe. Huyu mwanamke anajilisha upepo bure. Kama amenigewa sana na mume wake mpya (Diamond) basi abadili dini ili amuoe badala ya kutulisha matango pori kuwa anamtumikia Mungu kwa kutumia misingi ya kidunia ghairi ya misingi ya kiMungu.
 
Taliban ndio wanaijuwa nafasi ya mwanamke Kwa usahihi.

Shida zote hizi zimeletwa na Wamagharibi.
Wanaume wenye akili daima wanajua fitna za kiuchumi ili ndoa isonge,jifanye democrat uone tofauti ya jua na mwezi japo vyote vinaangaza.

The only place you can win your wife intelligently ni kwenye finance yaan hapo tuuuu ndipo utadhihirika wewe jiniazi kweli au kiazi wa maisha🤣🤣🤣

Psychologically mwanamke anahitaji kitu kinaitwa"SENSE OF BELONGING"

Hizi ni zile hisia za kujihisi anamilikiwa na mtu fulani.

Na ili aweze kuipata hizo hisia anatakiwa kuzidiwa Akili, Fedha na Umri.

Mwanamke akimzidi mwanaume kimoja kati ya hivo mara nyingi huleta shida!
 
Mkuu umeongea kifalsafa zaidi na umeeleweka
 
Mda mwingine nafikiria hata YESU alipopewa jukumu la kuikomboa Dunia nahisi alimuomba MUNGU asimpe jukumu jingine la kua na mwanamke (mke)
Kwa hiyo Christina yupo sahihi kumuacha mzee Shusho na kumfuata Diamond kwa kisingizio cha kuhubiri injili?
 
Back
Top Bottom