Mkuu usiamini link yeyote ambayo haijatolewa rasmi na idara husika matapeli wamechangamkia hii fulsa ya mfumo kusumbua watu wa IT wanajua kitu Kinaitw fishing na web farming watu watatengeneza page kivuli Kama ilivyo(zombie page) utawatumia nyaraka zako afu sikumoja wanakupigia simu wanakutajia taarifa zako sahihi nakukutaka ushirikiano ili wakusaidie na kwakua taarifa zitakua sahihi utawaamini tumia link iliyotolewa tu watu hamjui tu kua hio namba ya Nida tu mtu natengeneza mazingira unakuta kachukulia mkopo

Tumia link ya ajira2.tpf.go.tz
 
Link ipo kweny website yao, na watu wanatuma maombi hapa, wewe huo utapeli umeuona wapi?
 
Wakuu naweza kujaza kwanza sehemu hizo zingine then nimalizie na taarifa za NIN?
Screenshot_20240517-124731.png
 
Back
Top Bottom