TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 26,541
- 13,588
Hakuna kiumbe kinachoelewekaHii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Na hiyo ndiyo maana halisi ya fasihi ambayo kwa kişi kikubwa imekamatwa na imani za dini au sayansi