Biashara ya viatu vya kike spesho

Huduma inaendelea wadau. Nitume nikutumikie, ushauri 1000 kukupeleka kwenye machimbo 5000, kukutumia mkoani 10000. Nafanya gharama hizo kwa maana naacha shughuri zangu kwa kukusaidia wewe, asante
IMG_20191021_112715.jpeg
IMG_20191021_112345.jpeg
IMG_20191021_112330.jpeg
 
Machimbo yakishatajwa humu mpaka ramani kupitia Uzi mmoja hivi unaitwa wafanyabiashara was mikoani mnaochukua mizigo kkoo,halafu hayo maviatu yanabanduka
Maduka yanahama na biashara zinaongezeka wakati zingine zinafungwa mkuu.
 
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu vinavyopendwa mtaani, namna gani mzigo unavyopatikana kariakoo, ambapo machinga wote ndio wanapochukulia, kwa bei nafuu, na namna gani wanavyochukua huo mzigo, huko kwenye machimbo bei no rahisi sana,ila ukija kichwa kichwa utakutana na wajanja watakuuzia jumla wakati wao wameuziwa jumla, kwa mtaji wa shilingi 50000 hadi laki unaweza kuanza hii biashara, unaweza kutumia njia mbili kukuza mtaji wako hasa njia ya kukopesha japo inachangamoto zake,pia njia ya kutembeza mtaani na kuwauzia wakinamama,mim nipo kwenye hiyo biashara mda kidogo .kwa msaada wa kukupeleka kwenye machimbo, kuuongoza kununua mzigo,kukupa mbinu za biashara, kukupa aina za bidhaa sokoni zinazoitajika, na ushauri wa aina tofauti tofauti, nitajitolea mda wangu kwa gharama ya 5000 tu, kwa maana nitaacha shughuri zangu kwa ajili yako. Kama upo tayar, nitafute kwa namba hii 0757 994417, au watsap namba 0687873592.
Angalizo: huduma hii kwa wakazi wa dar na mikoa ya karibu, wakazi wa mokoani kama utakuwa na imani unaweza nitumia pesa kisha ukaniambia aina ya viatu unavyotaka kisha nitakutumia kwa njia ya basi, kwa gharama zako za usafiri.kwangu uaminifu ni 100%. Narudia tena hii biashara niko naifanya nawala sio nazungumza hewani. Bei za viatu ni kuanzia 3000,3500,4000,4500,5000,5500,6000..,nitajalibu hapa kutuma picha za bei za viatu vya jumla huko kariakoo,nikishindwa nichek watsap nitakutumia.asanteni
Pia chimbo la chupi,kanga stationary,viatu vya watoto,simple za kike n.k. pia ukitaka ushauri na namna gani ya kufanya hii biashara ya viatu vya kike, karibu sana,

Updated: pia ukitaka nikufanyie utafiti juu ya bidhaa Fulani kwa inauzwa bei gani hapa kariako ukilinganisha na huko unapoishi, karibu sana utachangia pia gharama ya usafiri tu kwenda kwenye machimbo na picha nitakutumia.asanteView attachment 1131625View attachment 1131626View attachment 1131627View attachment 1131628View attachment 1131629View attachment 1131630
Mkuu hii huduma bado inapatikana? naomba namba zako pm tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom