Biashara ya viatu vya kike spesho

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
929
1,278
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu vinavyopendwa mtaani, namna gani mzigo unavyopatikana kariakoo, ambapo machinga wote ndio wanapochukulia, kwa bei nafuu, na namna gani wanavyochukua huo mzigo, huko kwenye machimbo bei no rahisi sana,ila ukija kichwa kichwa utakutana na wajanja watakuuzia jumla wakati wao wameuziwa jumla, kwa mtaji wa shilingi 50000 hadi laki unaweza kuanza hii biashara, unaweza kutumia njia mbili kukuza mtaji wako hasa njia ya kukopesha japo inachangamoto zake,pia njia ya kutembeza mtaani na kuwauzia wakinamama,mim nipo kwenye hiyo biashara mda kidogo .kwa msaada wa kukupeleka kwenye machimbo, kuuongoza kununua mzigo,kukupa mbinu za biashara, kukupa aina za bidhaa sokoni zinazoitajika, na ushauri wa aina tofauti tofauti, nitajitolea mda wangu kwa gharama ya 5000 tu, kwa maana nitaacha shughuri zangu kwa ajili yako. Kama upo tayar, nitafute kwa namba hii 0757 994417, au watsap namba 0687873592.
Angalizo: huduma hii kwa wakazi wa dar na mikoa ya karibu, wakazi wa mokoani kama utakuwa na imani unaweza nitumia pesa kisha ukaniambia aina ya viatu unavyotaka kisha nitakutumia kwa njia ya basi, kwa gharama zako za usafiri.kwangu uaminifu ni 100%. Narudia tena hii biashara niko naifanya nawala sio nazungumza hewani. Bei za viatu ni kuanzia 3000,3500,4000,4500,5000,5500,6000..,nitajalibu hapa kutuma picha za bei za viatu vya jumla huko kariakoo,nikishindwa nichek watsap nitakutumia.asanteni
Pia chimbo la chupi,kanga stationary,viatu vya watoto,simple za kike n.k. pia ukitaka ushauri na namna gani ya kufanya hii biashara ya viatu vya kike, karibu sana,

Updated: pia ukitaka nikufanyie utafiti juu ya bidhaa Fulani kwa inauzwa bei gani hapa kariako ukilinganisha na huko unapoishi, karibu sana utachangia pia gharama ya usafiri tu kwenda kwenye machimbo na picha nitakutumia.asante
IMG_20190615_105141.jpeg
IMG_20190615_105121.jpeg
IMG_20190618_092512.jpeg
IMG_20190618_092728.jpeg
IMG_20190615_105105.jpeg
IMG_20190615_104227.jpeg
 
Kiatu ushaona kinauzwa 3000 alafu unataka kisibanduke? la kuhusu kubanduka ni kweli itategemea unavaaje...ukiwa mtumiaji wa hivyo viatu inatakiwa ile stand ya viatu kwa hesabu za chini isipungue pea 30 yani nikimaanisha kiatu ukikivaa leo kukirudia ni mpaka mwezi ujao..Trust ME Mtaani lazima upendeze hata kama ni midosho ila utang'aa tu.

Kikubwa mjini umaridadi...Brands waachiwe kina nick minaj.

Kwa upande wa biashara hayo maviatu mazuri sana kuuza ki ufupi ukiwa na mtaji Ni biashara nzuri sana ya kuongeza mtaji kisha kutafuta biashara nyingine..

Sema mwamba unajua tumia fursa....kuonyesha chimbo gharama 5000 Aisee maisha yametupa akili ya ubunifu mkubwa sana.
 
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu vinavyopendwa mtaani, namna gani mzigo unavyopatikana kariakoo, ambapo machinga wote ndio wanapochukulia, kwa bei nafuu, na namna gani wanavyochukua huo mzigo, huko kwenye machimbo bei no rahisi sana,ila ukija kichwa kichwa utakutana na wajanja watakuuzia jumla wakati wao wameuziwa jumla, kwa mtaji wa shilingi 50000 hadi laki unaweza kuanza hii biashara, unaweza kutumia njia mbili kukuza mtaji wako hasa njia ya kukopesha japo inachangamoto zake,pia njia ya kutembeza mtaani na kuwauzia wakinamama,mim nipo kwenye hiyo biashara mda kidogo .kwa msaada wa kukupeleka kwenye machimbo, kuuongoza kununua mzigo,kukupa mbinu za biashara, kukupa aina za bidhaa sokoni zinazoitajika, na ushauri wa aina tofauti tofauti, nitajitolea mda wangu kwa gharama ya 5000 tu, kwa maana nitaacha shughuri zangu kwa ajili yako. Kama upo tayar, nitafute kwa namba hii 0757 994417, au watsap namba 0687873592.
Angalizo: huduma hii kwa wakazi wa dar na mikoa ya karibu, wakazi wa mokoani kama utakuwa na imani unaweza nitumia pesa kisha ukaniambia aina ya viatu unavyotaka kisha nitakutumia kwa njia ya basi, kwa gharama zako za usafiri.kwangu uaminifu ni 100%. Narudia tena hii biashara niko naifanya nawala sio nazungumza hewani. Bei za viatu ni kuanzia 3000,3500,4000,4500,5000,5500,6000..,nitajalibu hapa kutuma picha za bei za viatu vya jumla huko kariakoo,nikishindwa nichek watsap nitakutumia.asanteniView attachment 1131625View attachment 1131626View attachment 1131627View attachment 1131628View attachment 1131629View attachment 1131630
Wewe jamaa utakuwa Muha coz, hii biashara waha wanaifanya sana wanachukua viatu kariakoo Mf kiatu cha 3500 Muha anakikopesha kwa 11000 ,waha ni maarufu sn kwa biashara za kukopesha ,iwe vyombo vya ndani , viatu na nguo
 
huduma inaendelea,usisite kunitafutaa,kwa maeneo ya kariakoo yanapouza vitu vya jumla na mbinu za kujua namnagani kwa wale wenye mitaji midogo wanaweza kununua biashara kwa bei saw a na wale wenye mitaji mikubwa.karibunii sanaaa.
 
Kuna kipindi niliwahi fanya hii biashara... Ina faida sana... Kiatu unanua kwa 4000 tsh... Unauza kwa 8000 - 10000
 
Wewe jamaa utakuwa Muha coz, hii biashara waha wanaifanya sana wanachukua viatu kariakoo Mf kiatu cha 3500 Muha anakikopesha kwa 11000 ,waha ni maarufu sn kwa biashara za kukopesha ,iwe vyombo vya ndani , viatu na nguo

Ha ha ha ha ha kuna siku moja nilikuwa nimkaa sehemu na nilikuwa na shida na beseni kubwa. kapita analiuza kwa mkopo elf13 akapaone nyumbani, mimi nikamwambia naomba nikucash elf9 unajua aligoma kabisa anataka mkopo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom